Siku wapinzani wakiwa watawala wakaingia ikulu, amini kwamba hawa watawala ndio hawataweza kabisa kuwa wapinzani!!
Yaani sioni anayeziweza siasa za upinzani pale, sio wanasiasa wao wala wafuasi!!
Kwanza wengi watahama na kurudi kwa watawala!!
@fahad_znz@BlackSingapore2 Swali lipo ngoja nikurahisishie swali
Kama mungu yupo bila chanzo yan hakuna source ya uwepo wake basi ina wezekana ivyo hivyo hata ulimwengu na wenyewe ulikuja upo na ulikuepo sasa ili ujibu ili swali una hitaji utueleze ilikuwaje mungu aliuumba ulimwengu Lakin yeye hakuumbwa
“Maridhiano” ni mwendelezo wa utapeli wa kisiasa unaofanywa na watawala. Lugha pekee inayopaswa kuongelewa wakati huu ni KATIBA MPYA INAYOONDOA MADARAKA YA KIMUNGU ALIYONAYO RAIS na IMPUNITY.
Anything less ni KUFUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE.
1995;
Benjamin W. MKAPA 4 Milioni (61.82%)
Augustine L. MREMA 1.8 Milioni (27.77%)
2000;
Benjamin W. MKAPA 5.8 Milioni (71.74%)
Ibrahim H. LIPUMBA 1.3 Milioni (16.26%)
2005;
Jakaya M. KIKWETE 9.1 Milioni (80.28%)
Ibrahim H. LIPUMBA 1.3 Milioni (11.68%)
2010;
Jakaya M. KIKWETE 5.2 Milioni (62.83%)
Wilbroad P. SLAA 2.2 Milioni (27.05%)
2015;
John P. MAGUFULI 8.8 Milioni (58.46%)
Edward N. LOWASSA 6 Milioni (39.97%)
2020;
John P. MAGUFULI 12.5 Milioni (84.40%)
Tundu A. LISSU 1.9 Milioni (13.04%)
2025;
Samia S. HASSAN 31.9 Milioni (97.66%)
CHAUMMA LAKI MBILI ELFU KUMI (0.60%)