@kasesco_tz safari
gharika
taswila
kwa ufupi kaole Sanaa group walijuaga kutukusanya kwa pamoja siku ya jumamosi mchana, na muendelezo wake ulikuaga usiku.
@damajack1@Kicheche_jr mtendaji usimlinganishe na mwalimu, mtendaji ana bonus nyingi sana, ana uwezo wa kupata huo mshahara wa mwalimu kwa wiki moja, nenda ukanunue shamba mtaani kwake uone