@EsirEid Pole sana tajiri kwasas hatupo nae tena ila siku nyingine kwa ugonjwa serious km huo af pesa ipo vuka t mpaka nenda hospitali za Kenya wanahuduma nzr sn na utarudi na mpendwa wako mkipiga story
@INFLUENCERjr Nakumbuka mototo wa vitoto alidisiwa na mwana kwamba kamuchek kumpa hai jamaa akampa business card,kuna dili ikatokea wanatakiwa waende south kumbe mtoto wa vitoto hana passport