Sisi ni kizazi chenye bahati.
Tumebarikiwa rasilimali, Maarifa, Ujuzi na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia.
Machaguo ni mengi, vitu vinaenda kwa kasi.
Ila hatuna furaha, upweke mkubwa. Baraka imegeuka balaa.
Kati ya yote, chagua kufurahi. Ridhika huku ukipambana.
Jana haipo, kesho sio yako.
Wakati pekee ulionao ni sasa, usiupoteze. Hofu, mashaka vinakuibia mda wako. Amani, furaha na tumaini ndio matumizi bora ya mda.
Tumia kujenga, kujifunza na kufurahia uwepo wako. Sio mbaya ilipangwa ndio maana ukazaliwa wa kipekee.
Good morning!
Vipi nikiweka nguvu kwenye SASA.
Kufanya maamuzi sahihi, kufanya nachotakiwa kufanya, kile kilicho ndani ya uwezo wangu.
Nina ile picha kubwa ya napotaka kuwa kesho, ila nijue hiyo picha itakamilika kwa kuchukua hatua ndogo ndogo sasa.
Nifurahie mchakato na sio matokeo.
Ajabu, Nina uhakika wa SASA.
Chakula, malazi na mavazi. Afya njema, maji safi. Sina nilichokosa at the moment yet am worried.
Nafikiria mwisho wa mwezi, mwakani, uzeeni wakati sina uhakika wa kufika huko.
Nashindwa kushukuru kwa nilipo, kisa kujilinganisha na wengine.
Maisha yanashangaza.
Naishi na watu, kwa nje unaona kama anateseka ila yeye anafuraha kuliko mimi ninayemuonea huruma.
Anaishi kwenye moment, akipata anatumia kwa kile kinachomfurahisha. Akikosa haimpi shida, ni kawaida kwake.
Kesho haimsumbui, itakuja na itapita kama jana.
15. TextBroker
TextBroker is a platform that allows writers to create content for clients, earning between $0.007 to $0.05 per word based on their writing quality and experience.
🔗 https://t.co/AbKlFHbC0y
You guys talking about ‘demons’ non-stop should look up Catholic Priest Malachi Martin on the Art Bell radio show from the 90s. Irishman.
He was a trained exorcist, a Jesuit who worked with John XXIII and Paul XI - had a PhD and so on. Highly educated man who spoke many languages and lived all over Europe. He wound up in NYC when he thought the Jesuits went off the rails (they did).
He gave a bunch of interviews to Bell and others, had all the education to make this respectable and not just crazy nonsense. I will link it in the next post.
@Allan_Lucky Ukweli ni kuwa unahaki ya kubadilika kila siku, kutokana na taafira mpya unazipata.
Sio lazima ubaki yule yule tuliyekuzoea, japo jamii inapenda kuwawekea label watu na haitaki wabadilike.
PYTHON is difficult to learn, but not anymore!
Introducing "The Ultimate Python ebook "PDF.
You will get:
• 74+ pages cheatsheet
• Save 100+ hours on research
And for 24 hrs, it's 100% FREE!
To get it, just:
1. Like & RT
2. Reply "Python"
3. Follow @Ronycoder [MUST]
As animals,
Tumeumbwa kuwaza wakati uliopo na mahitaji ya sasa.
Unanjaa kula, kiu kunywa then pumzika. Binadamu kwa utashi wetu tukataka uhakika wa baadae, matatizo yakaanza.
Huna uhakika utakua hai kesho, kwa nini inakutesa kiasi hicho?
Sikatai mipango, nakataa stress. Ishi