Kuna time nimewahi piga mechi na crush flani uko ocha kwa kale ka keja ka matope nikaamua kukanyaga ukuta nikitafuta grip, nakuambia nilipata miguu ziko nje zinalambwa na ng'ombe...
Ndio naamka ...nakuta mix ya Christina shusho...inatesa ..Kwa plot...huezi amini hao ni washerati wenzangu ...😂😂tulikuwa nao locals Jana... anways twende Sunday service