Jeneral Venace Mabeyo mwisho wa Mwezi huu anastaafu cheo cha Mkuu wa Majeshi Tanzania aliteuliwa na Hayati Magufuli February 6 2017. Appreciation tweet kwake Mzee hanaga shida na mtu huyu.
@ExMayorUbungo@ProfessorJayTz@MuhimbiliTaifa Ndani ya nchi mulianza kupitisha michango yenu ya michongo. Baada ya Serikali kubeba gharama za matibabu michongo yenu imekua blocked. Sasa unaleta ajenda ya matibabu njee ili mule hela za wananchi. TANZANIA TULIKUAJE NA MEYA MWENYE AKILI NDOGO KAMA WEWE!! ๐ฎ
Uongozi wa klabu ya Young Africans SC leo tumemtambulisha rasmi Mkurugenzi wa Maendeleo Soka la Vijana Mwyinyi Zahera.
Karibu tena Jangwani, Karibu timu ya Wananchi.
#DaimaMbeleNyumaMwiko#TimuYaWananchi
Uongozi wa klabu ya Young Africans SC leo tumemtambulisha rasmi Kocha Msaidizi Cedric Kaze.
Kaze anakwenda kushirikiana na Kocha wetu Mkuu Nabi.๐ช๐พ
Karibu tena Jangwani, Karibu timu ya Wananchi.
#DaimaMbeleNyumaMwiko#TimuYaWananchi
Kikosi kimeshawasili kwenye Dimba la Benjamin Mkapa tayari kwa mchezo wetu wa kimataifa wa hatua ya awali dhidi ya Rivers United Fc kutoka Nigeria, kuanzia saa 11 jioni.
#returnofchampions#TimuYaMwananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko