Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu kuwa ishara ya matumaini katika Ulimwengu wa leo.
Peace be with you all! This is the first greeting spoken by the Risen Christ, the Good Shepherd. I would like this greeting of peace to resound in your hearts, in your families, and among all people, wherever they may be, in every nation and throughout the world.
Most of you got it wrong. Utabiri haukua juu ya nani atakuwa Papa bali ni juu ya Papa mpya atachagua jina gani. Moja ya matendo ya kwanza ya Papa mpya ni kuchagua jina jipya, kubadilisha jina la ubatizo. Kama huo utabiri ungedai kuwa Papa atakua ni Card Prevost bas ingekua agenda