Today is my 20th birthday in Gaza.🎂
I’m proud that I have reached this age while I’m still dreaming, studying, and trying to find joy despite everything happening in Gaza.
Celebrate my birthday with me by leaving a kind comment or a gift that would make my heart happy. 🫶
@HabiibYahyaa Ushirikiano wa Saudia na Merica pamoja na mataifa yte ya kifalme ya kiarabu ni kulinda UFALME wao. Hkna la zaidi. Hawataki hvo wangelikwsha angushwa kitambo sna.
@khingswahswah@HabiibYahyaa Serikali ya Yemen inafadhiliwa na Saudia na UAE. Ansarullah wanafadhiliwa na Iran. Ansarullah ni Mashia wkt serikali ya Yemen ni Wahhabi.
@khingswahswah@HabiibYahyaa Ansarullah walipindua serikali ya Yemen wakashika uongozi baadae Saudi Arabia waktka kurejesha serikali madarakni pakatokea vita vya wenywe kwa wenywe mwsho wakagawana miji. Ansarullah wakabaki mji mkuu Sanaa na serikali ya Yemen ikaenda mji mwengne wa Aden kwa makubaliano maalum
@msouthherbs@Aruatani Hkna alieingia ikulu na kutoka na hio picha. Hakuna aliepekua makosa ya mtu. Kilichofanyika kimefanyika hadharani na ni rukhsa kuhoji/kuuliza ktk lengo la kujifunza.