@The_PR0F3S0R Hisa si mbaya kama una uelewa wa kutosha na ni kweli kuna aina mbalimbali za hisa kutokana na makubaliano binafsi.
pia kuna namna tofauti za upatikanaji wake kutokana na kiasi cha fedha kinachowekwa.
Cha msingi tafuta namna bora ya kunufaika nazo kama unahitaji kuwekeza huko.
Weka kichwani haya na watu watakuheshimu.
1.Wenzako yaani uliosoma nao sio marafiki zako.
2.Mahusiano ya zamani yabaki huko huko zamani.
3.Zingatia wanao kuzingatia/ Wape muda wako wanatafuta muda kwa ajiri yako.
4.Jipende mwenyewe/Pendeza bila kujali uko na hali gani.
5.Epuka kua na washikaji wenye wivu.
6.Usiruhusu kuongozwa na mawazo ya watu wengine.
7.Ona kawaida kuachana na watu katika maisha yako.
8.Kua na msimamo katika maamuzi yako.
9.Jifunze kua msiri.
10.Epuka kukaa na washikaji wanao ongelea maisha ya watu.
There is nothing more heartbreaking than seeing a good man become cold, not because he is heartless but because he is exhausted from a world that mistook his kindness for weakness.