@iGodmanHustler@iamcleopatricia kuna hela nilikuwa nahesabu nilivyotoa rubber band nikawa nimevaa mkononi ili niziakiki do nikajisahau nikapiga nayo photo
@ClatousCC@KapombeShomari Broo mi mwanayanga ila we nakukubali Sana an hadi nimekupost kwenye ukurasa zangu wa fb na Instagram natumia Albert mtalemwa golden boy na Instagram natumia Albert_2mutalemwa nifolow nitambe