Okay , kwahyo unadhani neno halisi lipo kwa ajili ya watu wasio na pesa pekee?
Lile neno linabaki valid kwa pande zote mbili mwenye nacho na asiyenacho✅
Vitol yuko na nani?
Nani wamempa tenda ambayo Watanzania wanauziwa mafuta kwa usd 200-260 wakati Uganda anauziwa usd 83 na Msumbiji anauziwa usd 90.
Hawa Namaro waliosajiliwa Dubai mwaka 2023 ni kina nani? Wana uhusiano gani na wizi huu mkubwa unaoumiza Watanzania.
Vyombo vya habari Tanzania kwanini hamfuatilii na kuandika huu ujambazi unaongamiza Nchi kwenye wizi wa mafuta..
TPDC kwanini hawakutoa tenda shindanishi katika suala kubwa kama hili la mafuta.
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Hii ndiyo product pekee ninayoitengeneza mwenyewe, yaani kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Na ndo product inayopendwa sana kwa sababu najua kila tone lake linabeba ubora, juhudi na moyo wangu♥️
BRO TO BRO…
Kama bado unajitafuta kwenye haya maisha kaa usome hii mpaka mwisho.
Hakuna anayekufundisha haya shuleni.
Na ukielewa haya mapema utajiokoa miaka mingi ya kupoteza muda.
Twende hatua kwa hatua…
A Thread:🧵
TABORA MJINI LEO WAMEFIKIWA NA IBADA YA HAKI.
Lazima wapagawe, NYOMI LA AI linawavuruga vichwa wameacha NDALA.
PAIPU zinaendelea bila kuchoka.
#FreeTunduLissu#KatiMpyaFreeTunduLissu
REPOST 200
Nawapa Stori nyingine Biblia ya Nabii Yusufu kukataliwa na ndugu zake mpaka kufika ikulu, Mwanzo 37-45
Yusufu alikuwa kijana aliyependwa sana na baba yake, lakini ndugu zake wakamwonea wivu sana. Wakampiga, wakamtupa kwenye shimo, kisha wakamuuza kama mtumwa huko Misri.
Alipofika Misri maisha hayakuwa mepesi aliingia utumwani, akisingiziwa kosa ambalo hakuwahi kufanya akiishia Gerezani😔
Katika macho ya kawaida ilionekana Kama kila kitu kimeharibika lakini hata akiwa Gerezani Mungu alikuwa anafanya kazi kimya kimya
Akiwa Gerezani kwa Muda, Yusufu alipewa nafasi ya kutafsiri ndoto za Farao, ndoto ambazo zilifafanua mpango wa miaka njaa na miaka ya Neema.
Farao alivutiwa sana na Hekima ya Yusufu akamtoa Gerezani na kumuweka kiongozi wa nchi.
Yule Kijana aliyekua shimoni, aliyeuzwa utumwani na ndugu zake anakuwa waziri Mkuu Misri 😂
Stori inanishangaza sana jamaa bado ndugu zake wanarudi kumuomba msamaha na anawasamehe 😂😂wewe hapo ungesamehe au ungewaambia kaeni kule.
Anyway nisikie Amen huko nyuma.
Kila nikiangia kwenye maombi mstari unaokuja rohoni mwangu ni huu. Roho Mtakatifu amekua akiuvuvia moyoni mwangu kila mara napoingia kwenye maombi
Ujumbe wake,
Ugonjwa wa ukoma zamani mtu alitengwa mbali na watu, pili, ngozi zilibadilika, tatu viungo vya mwili vilikatika vidole, kucha na kadhalika.
So wakati Yesu anawaambia nendeni mkajionyeshe kwa makuhani walikuwa na ugonjwa bado, hawaruhusiwi kuchangamana na watu, ila walitakiwa kuchua hatua ya imani dhidi ya katazo la sheria . Ndivyo imani inavyofanya kazi. Huenda kinyume na uhalisia. Usipochukua hatua kinyume na uhalisi, kikwazo, imani haizai.
Point: walipotii, Neno la Yesu kwa kuchukua hatua za kwenda kwa makuhani wakapona njiani.
Point: walikuwa 10, 9 walipoona wamepona wakaondoka zao kwa furaha so ngozi zao zilibadilika na ugonjwa kuondoka kabisa wakatakasika kabisa lakini mmoja alipoona amepona akarudi kumshukuru Yesu.
Yesu akauliza mbona mlipona 10 wengine 9 wako wapi?? Akamwambia aliyerudi kutoa shukrani umepona kabisa kwa kingereza you're made whole.
Unajua utofauti wake?? Wale 9 walipona ugonjwa na ngozi kutakasika ila viungo vyao havikurudi. Huyu mmoja alipoambiwa you're made whole maana yake hata viungo vyake vilirudishwa akawa kamili/timilifu.
Fundisho, nguvu ya shukrani[power of thanks giving], kumrudishia Mungu shukrani kwa kitu alichokutendea, huongeza zaidi ya muujiza/humalizia muujiza/baraka[complete miracle/blessings].
Hiki ndicho Roho Mtakatifu ameweka ndani yangu, kutokana na maombi fulani ambayo nimekua namuonba ni code au ufunuo wa ulimwengu wa roho ambao hufungua mlango wa baraka zaidi kwenye baraka ambazo amekwisha kuachilia.
Ndugu yangu kama unajenga tafadhali nakuomba usisahau kuwa nipo kwa ajili yako ili nikufanyie kazi bora✨
Usisite kunipigia simu pale unapohitaji fundi mzuri wa umeme kwa ajili ya jengo lako, napatikana Mwanza ila popote nafika vizuri🤝
📞0714361234
#MkonoWaJay⚡