@GoodluckTemu_ @Sukayotz We jamaa acha kuchekesha watu tofautisha photographer na videographer watu wawili tofauti kabisa halafu video mpaka uione imetoka ujue imefanyiwa editing ambapo na masuala ya graphics yameingia hapo wanahusika wataalamu tofauti tofauti pia
@yusco_santana @Sukayotz We jamaa unaongea nini yaani Camera imbebe inambebaje sasa? Hata ukiwa na Camera nzuri vitu kuna shot ukiwa si mbobezi huwezi kuzipata, Mu vibe hafikii hata robo ya uwezo wa Rabbi kuanzia kwenye kushoot matukio mpaka ubora wa picha
MISIMBO MUHIMU YA SIMU UNAYOPASWA KUJUA(USSD/MMI CODES)
UZI 🧵RT
Ktk ulimwengu wa mawasiliano,kutumia SIM ya mkonon kwa ufanisi kunahitaj zaid ya kujua kupiga na kupokea sim
Makala hii itakufundisha baadhi ya misimbo muhimu ya SIM ambay unaweza kukurahisishia Maisha yak kila siku
Google inaskiliza kila kitu unachoongea na hii ni hatari sana kwa FARAGHA yako
Hivi ndio unavoweza fanya kuongeza PRIVACY ili GOOGLE wasiskize kila kitu
>Nenda kwenye GMAIL halafu chagua Manage Google account
>Halafu click DATA & PRIVACY