@ScholaDecaprado I think hapo hajaongelea kumsikiliza ila ni kuwa na baba wa kiroho. Kuna mch alishawahi niambia unaweza ukawa unaabudu mahali fulani ila mch wa hilo kanisa asiwe baba yako wa kiroho. Ila kusikiliza sikila watumishi wote of your choice