@mamayukokazini@SuluhuSamia Hii tabia inatoka wapi? Badala yakufikiria njia za kupunguza mfumuko wa bei eti una unajilinganisha na majirani as if mfumuko wa bei utashuka.Acheni siasa watu wanaumia mtaani
@George_Ambangil Hahahaaa mtafute mbadala wa casemiro otherwise newcastle ataweka mizizi hapo juu.Wacha tujidai na trosard bcoz bila yeye ilikuwa draw.
@millardayo Lita Mil 46 zinaenda wapi? Kuna sehemu zinaifadhiwa ili zitumike wakati wa uhitaji mkubwa wa maji,sita shangaa kama hatuna izo reserve tank.
@JamiiForums No wonder Mwendazake alikuwa anawatumbua huwezi sema eti leo umegundua ng'ombe ndio tatizo.Watu hawana maji mwezi sasa afu unasema sababu ambayo kuna viongozi hawakufanya majukumu yao na wapo walipwa mishahara.Mnabahati Mwendazake hayupo mmechota maji kwa ndoo.