@MAKIRIA001@TriciaAbou Uongo Zanzibar ni rahis kupata pesa kuliko sehem yyte ile Tz ila wao wanachukuana ili koo zao zikue kwny maish mazuri zaid ila bongo hata awe ndugu yko hakupi njia wanabaniana sana
@NMweusi85571@ZenjiboyZnz Oya ila jamaa kaongea ukweli walevi wa zenji wanaelimu kubwa ya dini kuliko hta mashekhe wao wanaijuia Quran nje ndan ila nd walevi sasa
@BingwaIK@prossoff Hakika broo mm nlkua namuhudumia mwanangu vizuri ila shida ni mamaake analeta michongo sio kila day vizinga kumamake nimeamua kukausha saiv akitakata kitu cha mtoto mpk atume lipa namba na mazingira ya shule ni babu yake simuamin single mom yyte kumanake
@BabiliJesuina@MariaSTsehai@NomboDomi Kila mmoja anauchungu sana ila kwa hili hata mm nakataa hii video ua mwaka 2016 na hyo dogo na mzanzibar na hyo ilkua zenji na wala hausiki n UVCCM hzo kombat z kakaake yy kaiba ili aonekane wakamkata na hajui chchte khs jeshi