@Samthetechguru@SimbaSCTanzania hapo Ndipo makosa mengi yalikuw yanatokea kama haujaridhika vzur karudie match alaf angalia pacome alikuwa anapita kiurahisi upande gan kama sio pembeni
@DeadNiggaAlive kulingana na wazee wanasema kwamba kuna kubeba mikosi na nuksi kipindi cha kutokwa na dam ila otherwise hakuna sasa sijui kama nilidanganywa au laah