Namshukuru mwenyezi mungu kwa kusimamia ndoa ya mwanangu zulfa malambo iliyofanyika jana ijumaa nawashukuru walewote walofanikisha kufana kwa ndoa hii mungu akupe afya njema amina @billmarwa@msoapomtwara#chukuahatua#tokomezaumaskinimtwara
Wakulima wa zao la korosho waliohudhuria mnada wa korosho uliofanyika kijiji cha kitaya kata ya kitaya mji mdogo MANYAMBA tr 15/11/2019 mnada ukiendeshwa na mkuu wa wiilaya ya mtwara wakulima walilizia kuuza @billmarwa@msoapomtwara#chukuahatua
Wakulima wa zao la korosho waliohudhuria mnada wa korosho uliofanyika kijiji cha kitaya kata ya kitaya mji mdogo MANYAMBA tr 15/11/2019 mnada ukiendeshwa na mkuu wa wiilaya na wakulima walilizia kuuza @billmarwa@msoapomtwara#chukuahatua
Kiongozi wa dini ya kiisilamu akitoa ufafanuzi juu ya haki ya umiliki mali na ardhi sawa kati ya mume na mke kwenye kongamano la ukatili wa kijinsia uliofanyika katani madimba @billmarwa@msoapomtwara#chukuahatua#tokomezaumaskinimtwara
Mratibu wa msoapo mtwara pamoja na afisa mradi wa ukatili wa kijinsia wakiendesha kongamano la juu ya umiliki mali ardhi kati mume na mke na nafasi za uongozi washiriki viongozi wa dini viongozi wa vyama vya siasa vijana wazee na walemavu @billmarwa @@msoapo
Mratibu wa msoapo mtwara pamoja na afisa mradi wa ukatili wa kijinsia wakiendesha kongamano la juu ya umiliki mali ardhi sawa kati ya mume na mke washiliki viongozi wa dini viongozi wa vyama vya siasa vijana wazee walemavu @billmarwa@msoapomtwara#chukuahatua
Mratibu wa msoapo mtwara pamoja na afisa mradi wa ukatili wa kijinsia wakiendesha kongamano la juu ya umiliki mali na ardhi sawa kati ya mume na mke pamoja na nafasi za uongozi washiriki viongozi wa dini wazee viongozi wa vyama vya siasa vijana walemavu @billmarwa@msoapomtwara
Pongezi zangu leo kwa wachezaji wa timu ya taifa tanzania hongera watanzania kwa kuiunga mkono timu yetu hongera benchi la ufundi hongera waloiandaa timu ya taifa idumu tanzania @billmarwa@mohamed_mkulima@msoapomtwara @mwaikembe #chukuahatua
Waraghabishi kijiji cha MNGOJI KATA MADIMBA WILAYA tukiwa kwenye kikao na kamati ya shule mngoji tukiandaa majeti ya mtihani darasa la saba utakao fanyika 11/9/2019 pamoja na kujadili mipango mizima ya maendeleo ya shule @billmarwa@mohamed_mkulima@msoapomtwara#chukuahatua
Leo Agost 07,2019 nimeweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Maabara ya kisasa na kubwa kwa Afrika ya Sayansi itakayofanya Utafiti wa Mambo mbalimbali ikiwemo ya Kilimo Katika Chuo Kikuu cha Kilimo SUA, pia nimeweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kuchakata Mikunde Mkoani Morogoro.
Nimetumia wikiendi yangu kumtembelea Mwalimu Raphael Semindu Simon aliyenifundisha darasa la kwanza katika shule ya Msingi Msoga mwaka 1958. Nimefika nilipofika kutokana na mchango wake adhimu.
MTWARA tatizo sio umeme bali tatizo niwafanyakazi washirika Tanesco mtwara mteja unaweza ukatoa tatizo kwawakati lakini unaweza ukachukua zaidi ya mwezi kabla haujatatuliwa tatizi lako haswa vijijini @billmarwa@mohamed_mkulima @medardkalemani #chukuahatua
Waraghabishi kijiji cha MNGOJI KATA MADIMBA WILAYA MTWARA tukiwa kwenye ofisi kijiji tukitoa mrejesho mafunzo ya uwazi na uwajibikaji sekta ya mafuta na gesi iliyoandaliwa na msoapo mtwara @billmarwa@mohamed_mkulima@msoapomtwara#chukuahatua
Tunaomba shilika la msoapo mtwara wakishirikiana na oxfam watupatie mafunzo ya kutujengea uwezo zaidi juu ya uandishi wataarifa habari na kuzituma kwenye mitandao ya kijamii kwa ufanisi zaidi @kefarmbogela@billmarwa@mohamed_mkulima@msoapomtwara#chukuahatua