Hawa ni wateule wa serikali za vijiji wa kata mbili nanda na mbogwe wakiapishwa leo tarehe 28/11/2019 kikubwa tunaomba uchapakazi kwani kiongozi legelege ni adui wa maendeleo #chukuahatua@OxfamTz@MagufuliJP@majaliwa_kassim@billmarwa
@umwalimu @maendeleoyajami Kwapamoja tunamtakia baraka katika maisha yake mungu aendelee kumlinda pia nashukuru viongozi kwa maono hayo juu ya binti huyo na huo ni moyo wa dhati mungu awasaidie
Suala la mtoto Anna Zambi: Serikali kupitia Wizara ya Afya na @maendeleoyajami tunachukua jukumu la kuratibu na kusimamia psychosocial support ya mtoto huyu pamoja na ustawi wake kwa ujumla. Katibu Mkuu Dkt John Jingu leo ataitembelea familia yake iliyopo Goba. Tutatoa taarifa.
uraghabishi ni sehemu kubwa ya ufanisi juu ya maendeleo na nikiungo mhimu kati ya wananchi na uongozi hivyo imepelekea wananchi kupenda sana maendeleo kwani wanacho kubaliana kinaonekana #chukuahatua@OxfamTz@billmarwa@majaliwa_kassim@TZMsemajiMkuu
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili na vikwazo ni sehemu ya maisha tuvumiliane tusameheane kwani inatisha sana wengi wanatelekeza familia lakini tujuwe hata mungu hapendi naomba tusiendelee na ukatili huu #chukuahatua
Hili ni tatizo kubwa sana kwenye familia mkitofautiana mama au baba mmoja wapo hapendi mtoto asome lazima mtoto atashindwa naomba wazazi tuwe kitu kimoja ili watoto watimize ndoto zao #chukuahatua@Oxfam@HakiElimu
Kuunda serikali ndugu zangu siyo jambo la kufanyia mdhaha tuelewe kwamba mkipatia uchaguzi mmepatia maendeleo hivyo tuwe makini ktk uchaguzi maendeleo yataletwa nasisi wenyewe pia maendeleo yatavulugwa nasisi wenyewe #chukuahatua@OxfamTz
NAMSHUKURU Mungu kwa kunifikisha siku ya leo.
Pia NAWASHUKURU nyote mlionitakia heri katika siku yangu ya kuzaliwa. Mmenionesha upendo wa dhati na mmenitia nguvu katika kutekeleza majukumu yangu.
Nami nawatakia afya njema, maisha marefu na Mwenyezi Mungu awabariki sana.
Uelewa ni mdogo tu mwingine anajuwa kadi yake ya mpiga kura inatosha mwisho wa siku kazuiliwa kupiga kura anaanza malalamiko yatupasa kuendelea kuwapa elimu hii #chukuahatua
Tunaweza kushawishi, kuhamasisha, kuelekeza hata kuburuza watu wajiandikishe lakini tujiulize kwa nini hawataki kwenda. Kwa nini hawaoni umuhimu tena wa kushiriki katika zoezi la kupiga kura? Tafakari chukua hatua
Ndugu zangu kuunda serikali za mitaa nawaomba tusiangalie sula,mali ila tuangalie nani anauwezo wa kutupeleka kwa muda wa miaka mitano na swala la uchaguzi si lelemama #chukuahatua
Ni mahafari ya kidato cha nne leo tarehe 11/10/2019 mbogwe secondary geita changamoto walianza wanafunzi 247 walio hitimu 101 wazazi tuendelee kupaza sauti watoto wasome wasikomee njiani #chukuahatua@OxfamTz@JoyceNdalichako@HakiElimu@MabalaMakengeza
Humu tweet kinamama wangapi walioko tayali kuchukua nafasi za uongozi wa serikali za mitaa? naomba sana mjitokeze tukotayali kuwaunga mkono #chukuahatua@OxfamTz@MabalaMakengeza@billmarwa