Yanga SC wamenunua wachezaji 2 katika moja kati ya timu 10 bora barani Afrika, unaposema una timu tishio na ulipigwa 5 na AS Vita halafu mtani wako kaenda kununua wachezaji waliokupiga hizo 5, hii imekaaje? Shikamoo GSM. 😂
Hakika Allah anazo alama nyingi dunian kudhihirisha uwepo wake. Kupona kwa Lissu na kurudi kijijin kwake Leo ni miongoni mwa alama za uwepo wa Allah.
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Trainer Barclay Tagg said Sunday that @sackatogastable’s Tiz the Law will most likely have 2 works at Saratoga before leaving for Kentucky on Aug. 31, the Monday before Sept. 5 Kentucky Derby. Here is Tiz the Law with assistant trainer @robinsmullen Sunday AM.
Muhimu kuelewa MATAGA si CCM per say kwani:
👉🏽si kila mwanaCCM ni MATAGA (in fact wengine wanawaponda kwa tabia hii ya kusifia bila mipaka)
👉🏽Lakini kila MATAGA hudai ni mwanaCCM
Non-MATAGA wanaCCM mpooo? Au kwa sasa mmeuchuna mnasubiri Baba kaamkaje? 🤣 #TutaelewanaTu
Sina maneno ya kusema! Naomba maneno mawili "Ahsanteni sana" yatoshe kueleza shukrani zangu za dhati kwenu wananchi wa Unguja kwa mapokezi makubwa na ya kihistoria yaliyojaa ladha ya upendo mliyonipa mimi na wenzangu leo. Nawapemda sana! Ni safari ya ushindi usio na shaka!