It has been revealed that QPR players were paid money from an Abu Dhabi company linked to Mancity with the instructions of letting Mancity win the game to win the league in 2011/12 season.
After that city's second goal QPR gave them the ball immediately after restarting play. When they should have kept the ball, using delay tactics. Instead they where feeding mancity the ball.
Go and rewatch the Manchester City vs QPR game from 2012 and you’ll see pretty obvious corruption in plain sight.
DAKIKA 100 ZA GADDAFI ZILIZOTIKISA DUNIA✍️
👉 Badala ya hotuba ya dakika 15, Muammar Gaddafi alisimama mbele ya viongozi wa dunia mwaka 2009 na kuzungumza kwa muda mrefu zaidi kuliko muda uliokuwa umetengwa, akivutia na kushangaza dunia nzima.
👉 Ilikuwa mara yake ya kwanza kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa baada ya miaka mingi tangu alipoingia madarakani Libya. Dunia ilifahamu mapema kwamba uwepo wake New York ungekuwa wa kipekee.
👉 Gaddafi alianza kuzungumza kwa Kiarabu, bila kuonekana kujali sana muda uliokuwa umetengwa. Dakika zikapita, muda ukaongezeka na hotuba yake ikaendelea kwa muda wa karibu saa moja na dakika 40.
👉 Hotuba hiyo ikawa ndefu kiasi kwamba hata mkalimani wa Kiarabu, Fuad Jalit, alionekana kuchoka baada ya kutafsiri kwa muda mrefu bila mapumziko, jambo lililozua mshangao ndani ya ukumbi.
👉 Msingi mkubwa wa hotuba yake ulikuwa ni ukosoaji wa mfumo wa Umoja wa Mataifa, hasa mamlaka ya kura ya turufu ya nchi tano za kudumu katika Baraza la Usalama.
👉 Gaddafi alihoji kwa nini nchi chache ziwe na uwezo wa kuzuia maamuzi yanayoweza kuungwa mkono na sehemu kubwa ya jumuiya ya kimataifa.
👉 Kwa mtazamo wake, tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa mwaka 1945, nchi ndogo hazijapata usalama na usawa wa kutosha katika mfumo wa kimataifa, huku vita, vikwazo na migogoro ikiendelea katika sehemu mbalimbali duniani.
👉 Katika hotuba hiyo, alielekeza pia lawama zake kwa sera za Marekani na nchi nyingine zenye nguvu, akizungumzia masuala mbalimbali ya kihistoria na kisiasa, yakiwemo vita vya Iraq vya mwaka 2003.
👉 Pia alitaka masuala makubwa ya kimataifa, ikiwemo mauaji ya Rais wa zamani wa Marekani John F. Kennedy, yaendelee kuchunguzwa kwa kina badala ya kuachwa katika mjadala wa kihistoria pekee.
👉 Gaddafi hakusita kuhoji hata masuala yaliyokuwa na utata wakati huo, akiwemo mjadala kuhusu chanzo na usalama wa virusi vya H1N1, ingawa madai kama hayo hayakuwa na msingi uliothibitishwa hadharani.
👉 Katika moja ya sehemu zilizozua mjadala mkubwa, Gaddafi alionyesha nakala ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa na kuhoji tofauti kati ya misingi ya usawa iliyoandikwa kwenye mkataba huo na uhalisia wa nguvu za kisiasa duniani.
👉 Akiwa mbele ya viongozi wa dunia katika Umoja wa Mataifa, Muammar Gaddafi alichukua karatasi za Mkataba wa Umoja wa Mataifa na kuonyesha kutoridhishwa kwake na mfumo wa kimataifa.
👉 Kwa ishara kali ya kupinga kile alichokiona kama ukosefu wa usawa, Gaddafi aliichana karatasi hiyo mbele ya ukumbi wa viongozi wa mataifa mbalimbali.
👉 Kitendo hicho kilikuwa sehemu ya ujumbe wake mkali kuhusu mamlaka ya mataifa makubwa na nafasi ya nchi ndogo katika mfumo wa Umoja wa Mataifa.
👉 Gaddafi pia alijulikana kwa mtindo wake wa kipekee wa safari za kimataifa, ikiwemo kutumia hema la jadi la Kiarabu kama sehemu ya makazi yake wakati wa baadhi ya ziara zake nje ya Libya.
👉 Wakati wa ziara yake New York, suala la kuweka hema lake lilizua mvutano na mamlaka za eneo hilo na hatimaye hema hilo likaondolewa baada ya changamoto za kisheria na kiusalama.
👉hotuba yake ilionekana kuvunja taratibu za kidiplomasia na kuvuka mipaka ya kawaida ya mazungumzo ya kimataifa.
👉Hotuba hiyo ilikuwa fursa ya kuuliza maswali ambayo mara nyingi huonekana kuwa magumu kuyaweka wazi mbele ya viongozi wa mataifa yenye nguvu✍️🇱🇾
"Dola la wa-CHAGGA liliisha miaka michache kabla ya Uhuru"
(@godbless_lema) &(@aikande) naombemi Rt yenu
THOMAS LENANA MARIALLE
Alikuwa Mangi Mkuu Wa Wachagga Kuanzia Januari 1952 Baada Ya Kushinda Uchaguzi Uliohusisha Wagombea 4.
Senior Counsel Jenerali Ulimwengu!! Mijadala kama hii huwezi kuiona chuo kikuu! Ni matamasha ya kina Mama Amina!
Kwasababu Mbogamboga hawajazoea kubishana kwa hoja wanakimbilia bunduki na kuteka watu.
Geolocated videos from the scenes, audio forensic analysis of the shots fired and first-hand accounts from witnesses and victims document the brutality unleashed on young demonstrators following the re-election of President Samia Suluhu Hassan – who claimed she won with 98% of the vote on October 29 after barring her chief rivals from the presidential race. https://t.co/aYUhkIjyjx
The Tanzanian government under Samia Suluhu is on a worrying trajectory, now accusing the Catholic Church of funding violence in the country. Samia appears to be playing a dangerous religion card that could have serious consequences for Tanzania.
Ngoja niweke hii sawa huku nikijitahidi sana kukwepa hoja ya udini inayotaka kutuhamisha kwenye mijadala ya msingi kwa sasa.
Kabla ya kuanzishwa kwa BAKWATA mwaka 1968, Waislamu Tanzania walikuwa na jumuiya yao iliyounganisha nchi zote za iliyokuwa jumuiya ya East Africa kabla ya kuvunjika. Jumuiya hiyo iliiywa East African Muslims Welfare Society (EAMWS)
Mlengo wa EAMWS ulikuwa kuwainua waislamu wote katika nyanja mbalimbali kwa kuanzisha taasisi za elimu, afya etc
EAMWS ndani ya Tanzania ikaweza kumiliki shule za kiislamu, vyuo vya ufundi, hospitals etc
Jumuiya hii ikaanza kuonekana tishio kwa taasisi za kikisto ambazo bila kumung’unya maneno kwa wakati ule zilikuwa na superiority complex (I am a Christian but I do admit this bitter truth)
Kwa mujibu wa mwanazuoni wa kiislamu HAMZA MUSTAFA NJOZI kupitia kitabu chake cha MWEMBECHAI KILLINGS AND POLITICAL FUTURE OF TANZANIA, anaeleza kuwa, mwaka 1968 Mwalimu Nyerere kwa kutumia ushawishi wake wa kisiasa kama Rais, alipokonya mali zote za jumuiya ya EAMWS na kuwaanzishia waislamu BAKWATA ambayo mwandishi anaaiita ni “TAASISI KIBARAKA WA DOLA”
Swala la BAKWATA kuwa kama mkono wa dola misikitini lilikuja kuwa dhahiri baada ya mauaji ya Mwembechai.
Baada ya mauaji haya ndipo ilitoka sheria ya kuwa ni BAKWATA tu ndio watakuwa wanatangaza kuandama kwa mwezi na kutangaza sikukuu za Eid.
Haya yasingetokea kama Padre Camilus Luambano, Paroko wa Mburahati kuibua malalamiko juu ya waislamu walichokifanya wakati wa sherehe za Eid Al Fitri mwaka 1998
Soma zaidi👇
https://t.co/J7kik6nhqr