@HESLBTanzania Hlo suala tunalipelekea wizara huska....hii sio sawa...hmna tamko lolote mnalotoa Wala mlilotoaaa...mmekaa kmya as if Kila ktu Kiko sawa
@EsirEid@MatindeMagongwe@fatma_karume Itakuwa vizuri muanze na Gereza na Tabata Segerea pale wengi wapo pale mahabusu wanakosa dhamana na dhamana zenyew wameziweka ngumu wakijua hawezi kupata ikiwemo Baba yangu...mwezi sasaa yupo palee ikiwapendeza mfanye kweli mtembelee pale