@MariaSTsehai@SuluhuSamia Gwajima anaongea jambo Zito sana hili, jee wananchi familia yake viongozi wa dini watakuelewa??? Wametia pamba masikioni hawasikii.
@HildaNewton21 TAL hanunuliki wala hana khofu ya kifo hili jabali lilishakufa zamani sana huu ni mpango wa Mungu mteswa yuko gerezani lakini anafuraha kuliko watesa wake waliohuru. Kuna muda najiuliza huyu TAL ni binaadamu kweli??? Siku akitoka afanyiwe uchuguzi sijawahi kuona mfungwa anafuraha
@YerickoNyerereT Ulitakiwa useme bwana wako Mbowe pimbi umeishiwa masaa 18 hata comments 200 hufikishi siku hizi, umeona wapi nchi ikapinduliwa msituni akili zako kama za yule chizi mwenzako 'hadithi za kusadikika" na "What sup"
@Abraha1Brighton Sugu hafai hivi karibuni kaanza kuwa na maneno ya kipumbavu sana mara aite watu "Matakoyako" na ujinga mwengine Sugu ameanza kupoteza heshima yake, ajifunze kwa wakubwa zake kina @HecheJohn na wengine aache drama mitandaoni.
@godbless_lema Kitu pekee kinachowaweka CCM pamoja nyakqti hizi ni hizo sare zao za kijani lakini akili nafsi mioyo yao haikangamani kabisa, ukute hapo hata maji mtu hapokei.
@bohny_chengula Huyu apewe cheo/nafasi ya yule mkuu alietowa hii tenda ya kumaliza foleni .kuu yuko office muda wote hajuwi anakifanya nini, huyu jamaa kwa maneno tu tayari kishamaliza foleni ya Tanzania nzima sio Dar tu. Tukiwambia akili kubwa ziko mtaani hamtaki.
@Sisimizi3 Hizo gun hata melini zinatumika mnapofikwa na tatizo inapigwa juu na inatawanyika kama fashfash ili walio mbali waone kwa lengo la kuomba msaada, hiyo hata mtoto mdogo anaweza kuitumia. Sema akili za machawa hazina akili, yaani Magufuli hawezi kutumia hii.
@YerickoNyerereT Tokea nimjuwe huyu jamaa humu ndio kwanzaxleo ameandika kitu kutimia akili yake siku zote huiba maandiko ya watu na kuyageuza kuwa maneno yake. Kutumia akili yake bado kaandika rubbish hivi, yaani hapo ndio mwisho wa akili yake.
@millardayo Maana yake kazi imewashinda huyu alietowa statement hii alitakiwa yeye na wizara nzima wasiwe office muda huu kwahiyo walikuwa wakilipwa bure wakati hawajuwi nini wanafanya, ndio tatizo la kuchaguwana na kubebana hadi kwenye masuali ya nchi. Mmeshindwa wapisheneni wengine.