Tuwajenge Waislamu, tusiwagawanye.
Uislamu umetufundisha kusitiriana, kusameheana na kupeana nasaha kwa hekima na huruma. Tunapokutana na changamoto zinazowahusu viongozi au wanazuoni wetu, ni wajibu wetu kuzishughulikia kwa haki, uadilifu na kwa kuzingatia Qur'an na Sunnah,
Hongera sana Bw. Charles Ngeleja Kadonya kwa kuaminiwa na Mheshimiwa Rais na kuteuliwa kushika nafasi ya Balozi Steve Mbundi. Tunakutakia mafanikio, hekima na nguvu katika kutekeleza majukumu yako mapya. Mungu akubariki.