Mgogoro wa Hormuz unatuondolea mbolea na mafuta kwa siku chache tu. Wakulima wanateseka na joto la kiangazi tayari. Tunahitaji mlangobahari ufunguliwe sasa, si kesho.
Kizazi Gen-Z ni kizazi cha nyakati hizi za teknolojia. Ni kizazi hakipaswi kupuuzwa maana teknolojia ina nguvu sana.Hebu fikiria Gen-Z wa Tanganyika walitangaza 7/7 mwaka huu 2026 wataandama. Matokeo hofu imetanda biashara zimesimama
https://t.co/ZYywDy8Uih
@themkulima Hata bustani yangu nyumbani mimea inateseka kiangazi hiki. Taasisi za utafiti wa kilima zinafanya nini? Tunahitaji mbegu zinazostahimili joto, sio changamoto mpya kila msimu
Hili ni upuuzi mtupu, kahawa sio jinai. Hawana kazi ya kufanya labda ndio maana wanakamata watu kiholela. Vitisho hivi havijengi usalama vinazalisha chuki tu
Hauwezi kuimarisha usalama wa mkoa wetu wa Mwanza kwa kukamata watu kiholela kama mlivyofanya leo kwa kuwakamata watu kwa kosa la kukutwa wakinywa kahawa kwenye kijiwe chetu cha Makoroboi. Lini kunywa kahawa ikawa jinai. Unaongeza chuki isiyokuwa na sababu ya msingi. Ghaili Uovu
PANYA BUKU atakuja tu kusema hata hivyo tumewaweza kuwakalisha barabarani polisi ! Tumeweza kufanya watu wasitembee yaani ..
SWALI lengo lenu si lilikuwa kuandamana na kupata katiba mpya na Rais Samia aondoke na uchaguzi uitishwe upya na Chiba atoke jela! SASA mmefanikiwa hayo malengo yenu?
HAMNAGA AKILI π
@dictatorbin Wakala wa nje gani huyu? Leta ushahidi. Watanzania wana maumivu halisi, wametekwa, wamepotea bila kesi. Amani inajengwa kwa Haki si kwa kufunga midomo
Digital tools are reshaping the future of agriculture, and young people are leading the transformation.
Through #YEFFA, implemented by @AGRA_Africa in partnership with the @MastercardFdn, we are accelerating digital adoption across Africa, connecting young entrepreneurs to markets, finance, mechanization, and business opportunities that help them grow resilient agribusinesses.
Across the continent, digital innovation is improving productivity, unlocking new opportunities, and creating jobs, proving that technology is becoming a powerful driver of Africa's agrifood transformation.
This is what the future of food systems looks like.
#AGRA #AGRAImpact #YEFFA #AGRAat20 #YouthInAg