@Balyx_ Huyu anaasili ya kujiona mjuaji kuliko wengine, mtemi mchwara, lkn pia ni kada hivyo linapokuja suala la kiuongozi anasimama upande wa watawala hata km kuna kosa...
@xlusako Mnatuibia pesa zetu alafu mnatupa jina baya la kuwa sio wazalendo sio?? Hata wanajeshi ambao wameajiliwa wapo ambao hawapendi wizi wenu na hawakubaliani na mambo yenu..