Nikiwa na Team ya madaktari bingwa bobezi wa magonjwa ya saratani za watoto kutoka mataifa mbalimbali. Imekua fursa ya kujifunza na kutengeneza mtandao mpya wa marafiki.
Ikifika hatua mgonjwa anaogopa kukupa maoni au mtazamo wake katika matibabu yake binafsi kwa hofu kuwa anaogopa asionekane anakupangia kazi au kuogopa kujibiwa vibaya na kuhofia tiba yake itaathiriwa na maoni yake basi tambua unatibu ugonjwa na si mgonjwa.
I’m incredibly excited to be attending the Tanzania Mental Health Summit 2025 as a delegate, representing institution under the Ministry of Health. This vital gathering is scheduled 30–31 May 2025. Let's build momentum together because mental health matters. See you in Kahama!
@Icon_MDG@MichaelMwebe Yanga atahakikisha hiyo match inachezwa bingwa ashapatikana. Kama Yanga atakuwa na uhakika wa ubingwa atapeleka team, the opposite ndo itakuwa ubaya ubwela😂