DART YAWATAHADHARISHA ABIRIA WAKE
- Ni kutokana na mvua iliyonyesha leo Dar na kusababisha maji kujaa maeneo ya Jangwani
- Abiria wa Mbezi & Kimara wameshauriwa kutumia mabasi hayo hadi Morocco kisha usafiri mbadala hadi Kivukoni na Gerezani
Soma https://t.co/jJY0LiysS3
#JFLeo