Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Amevunja Bodi Ya Shirika la Reli Tanzania ( TRC ) Rais Samia Suluhu Hassan ametengua Uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) Mhandisi John Nzulule
Watu 13 wamepoteza maisha na majeruhi kadhaa baada ya Fuso walilokuwa wanasafiria kutoka mnadani kutumbukia mtoni. Watu hao walitoka kijiji cha Nambendo wilaya ya Namtumbo kurudi Songea walikokwenda kuuza vitu mbalimbali jana siku ya Pasaka
Swali la ufahamu wa sheria za mpira wa miguu kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), tembelea ukurasa huu kila Jumatatu kwa maswali haya.
@tplboard@azamtvtz@fif@CAF_Online