Umewahi kusikili habari za Mnara wa Babeli?
“Tunataka tuendelee na jambo hili la kununua dhahabu hata iwe nyingi, nyingi, nyingi, na nyingi hadi tulingane na mataifa mengine ambayo yalishanunua dhahabu. Ni kawaida dhahabu kuuzwa ili Serikali kugharamia miradi yake mikubwa” – MADURO
“Misaada ya nje imepungua, nchi nyingi hazitoi tena misaada, tunahitaji njia mbadala za kupata fedha. Serikali imepanga kuuza sehemu ya akiba yake ya dhahabu ili kupata fedha za kusaidia kufadhili miradi mbalimbali ya miundombinu.” — KITILA.
“Benki Kuu ina akiba ya dhahabu ya $3.24 bilioni imevuka lengo la bodi na imeamua kuuza dhahabu ya $1.2 bilioni ili kuweka mizania sawa ya $2 bilioni. Ni utaratibu wa kawaida wa Benki Kuu kuweka mizania sawa ya vihatarishi” – Benki Kuu ya Tanzania.
Anyways, tuachane na mbogamboga, tujadili hoja za BoT.
Benki kuu nyingi hutumia dhahabu kama mali ya kimkakati ya akiba kwa sababu ina thamani inayokubalika kimataifa na haiathiriwi moja kwa moja na sera za nchi nyingine. Ndiyo maana wanatunza akiba.
UZBEKISTAN wana akiba ya dhahabu $67 bilioni. TAIWAN $75 bilioni. KAZAKHSTAN $59 bilioni. BoT wanasema limit yao ni $2 bilioni na wameshavuka malengo na wako $3.24 bilioni, hivyo hawaoni shida kuuza ziada. TAMAA.
BoT, akiba ya dhahabu iliyopo haijaiweka nchi yetu katika orodha ya nchi 20 zenye akiba ya dhahabu, hilo lengo la kuwa na akiba ya $2 bilioni mnajipima na nani? Maana Tanzania hatupo hata katika orodha ya nchi 10 Afrika.
Akiba ya dhahabu LIBYA $92.9 bilioni. ALGERIA ($83.0 billion). SOUTH AFRICA ($65.4 billion). EGYPT ($44.9 billion). NIGERIA ($38.6 billion). MOROCCO ($371 billion). ANGOLA ($14.2 billion). Hawauzi akiba ya dhahabu.
Unavukaje malengo katika akiba? Unavuka malengo katika mapato. Una akiba $3.24 bilioni na unauza 1/3 ya akiba yako? KENYA, akiba yao ya dhahabu ni $10.1 billion. Je, hawajui kuweka mizania sawa ya vihatarishi?
Tanzania ina akiba ya ya $3.24 bilioni na wanaona kwamba watashindwa kujishikilia na akiba ya tani 6 ya dhahabu, wameamua kuuza dhahabu ya $1.2 bilioni kubaki na akiba $2 bilioni. MADURO anasema ni SERA
Hizo tani 6 za akiba ndiyo mmeingia tamaa mnaanza kuuza wakati ALGERIA wanazo tani 173 katika akiba ya dhahabu na hawajauza? Badala ya kuweka akiba ya kutosha, ninyi mnaanza kuingia tamaa. Acheni tamaa
Benki kuu nchi zote timamu zina akiba ya fedha za kigeni kwa ajili ya kulinda uchumi wao na sarafu zao. Dhahabu ni sehemu ya akiba hiyo kwa sababu za kimkakati. BoT wao wanasema wanauza dhahabu ili kununua DOLA.
Dhahabu ni “safe haven” – yaani kwamba, ni mali ambayo hukimbiliwa wakati kuna hofu ya uchumi, mfumuko wa bei (inflation), au Wakati kuna migogoro au wasiwasi kuhusu nguvu ya sarafu kama dola ya Marekani
Mahitaji ya dhahabu huongezeka na mara nyingi bei yake hupanda. Dhahabu inaongezeka thamani. Ninyi mnauza akiba ya dhahabu kwa kuwa tu mmefikia lengo la bodi ya BoT. Nyieee! Labda mtueleze jikoni mmekaukiwa..
Dhahabu ni store of value. Kitu kinachoweza kuhifadhi thamani kwa muda mrefu bila kupoteza uwezo wake wa kununua bidhaa au huduma. Imetumika hivyo kwa maelfu ya miaka. Badala ya kuhifadhi, mmeamua kuuza akiba
Ushauri timamu ungelikuwa…
Madini ya dhahabu yasitokewe nje kwa magendo. Masoko ya uhakika. Serikali inunue madini kwa wachimbaji wadogo na wakubwa na kuuza nje. Mifumo iwe rafiki bila ukiritimba wa soko (state monopoly)
Masoko yatasaidia wachimbaji wadogo kupata wanunuzi wa uhakika, bei iliyo wazi, na malipo salama. Masoko yatasaidia serikali kufuatilia uzalishaji halisi. Hii itapunguza uharamia na kuongeza ukusanyaji wa kodi.
Nchi timamu zote zinaweka masoko ya wazi na yenye ushindani, kuwezesha wachimbaji kupata bei inayolingana na soko la dunia. Masoko shindani hupunguza walanguzi/wanunuzi wachache kudhibiti bei.
Rahisisha leseni na kodi kwa wachimbaji wadogo, ongezeni usimamizi wa mipaka ili kupunguza magendo, na kutumia sehemu ya dhahabu kuongeza akiba badala ya kuuza. Hizo nyingine mnatupiga porojo tu.
But What Do I Think I Know?
. @MwananchiNews MNAMDANGANYA NANI?
Picha hii ilichapishwa mara ya kwanza 6 September 2017 katika ukurasa wa Facebook wa HELEN DAVIES (raia wa Uingereza) alipotembelea Jambiani na Kendwa, Unguja, Zanzibar akiwa na kundi la marafiki zake.
Gazeti kubwa na kongwe kabisa nchini la MWANANCHI linaitumia picha hiyo miaka mitano (5) baadae, 10 December 2025 katika habari yake kuonesha ongezeko kubwa la watalii Zanzibar, wakiwepo wataliano
Gazeti kongwe la MWANANCHI wanataka kutuaminisha nini wasomaji wa habari zao? Je, ni ukweli kwamba printing media imeharibika kiwango hiki? Kwamba wanaweza kudanganya watu katika zama hizi?
Nimeona utetezi wa MHARIRI wa MWANANCHI saa 24 baadae anasema “Katika taarifa hiyo tulitumia picha ya mtandaoni inayoakisi shughuli za Utalii Zanzibar na haikuwa picha mpya”. Picha za sasa zipo wapi?
Kwa akili hizi za huyu MHARIRI wa MWANANCHI ni kwamba, MELI ikizama Tanzania, MWANANCHI watatumia picha za TITANIC iliyozama mwaka 1912 kueleze hali ya meli kuzama Tanzania 2025?
Journalism ethics mmejifunza wapi waandishi wa sasa? A fundamental principle of professional journalism and advertising governs the ethics of misleading information in print media. Hamuelewi hii kitu kweli?
The ethics of mass media should involve being fair to the facts, accurate, responsible, and credible. Don't propagate rumors or myths, and don't make claims that can't be validated by reputable sources. HYFR.
Kitabu cha “The Elements of Journalism” kimeandikwa na Bill Kovach na Tom Rosenstiel (2001) kimeeleza vizuri ‘core principles of journalism’. Journalism’s first obligation is to the truth. Kinauzwa 24K AMAZON.
Nafikiri, vyombo vya habari ni sehemu imeharibika zaidi hata kuliko baadhi ya mifumo ya Serikali. Wahariri wa vyombo vya habari wamekuwa machawa wa Serikali na CCM, wanatumika kufanya propaganda kipuuzi.
MWANANCHI, basi hata mngelitumia picha za (vijana wapiga makachu) mseme ni watalii kutoka Barbados au Trinidad & Tobago wamekuja kutalii na kupiga misamba Zanzibar? ACHENI UPUMBAVU na UTAPELI..
MWANANCHI, meamua kuchagua fungu lenu, fungu la kutumikia uongo. Lakini mtambue, mnapoteza uhalali mbele ya hadhira ambayo ni wasomaji wa magazeti na habari zenu. Rudini katika misingi. Hamjachelewa.
@Advocate_Jebra Why does official letter from embassy has a response contact ya mtu anaitwa Juma tena ya https://t.co/To4OWzhbd8.Hv hatuna namna ya barua ya uzito huu kupelekwa via Foreign Affairs Ministry? Kwel diplomasia yetu inataka bunge la ulaya kujibu via yahoo na mobile number? Seriously
Kwa mara ya kwanza Tanzania imetoa candidates wa ICC - na kila mtu timamu anaunga mkono hatua hiyo. Hauwezi kuuwa malefu ya Watanzania wenzetu alafu ukaendelea kupeta ukijiita Rais. Kawe Rais wa wahalifu wenzako wa kimataifa. #TanzaniaMassacre
🔸Dear @_AfricanUnion, @SADCNews, East African Community @jumuiya,
It’s a matter of shame and embarrassment for the Continent that parliamentary committees from the United States and Europe are in the forefront of seeking accountability for the mass murders, widespread torture and atrocities that have been meted out on the people of Tanzania - while you remain silent and continue business as usual.
Why is it that the international community and institutions outside of Africa are more concerned about African lives than you?
Why do you always wait until civil war, a genocide or a coup breaks out for you to act?
Do the right thing.🙌🏽
We need new leaders.🇿🇼
Wakili Msomi Juan Carlos Gutiérrez.
Ni Rais wa Taasisi ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Wanasheria Duniani.
Ni mshauri wa masuala ya haki za binadamu ktk Chama cha Wanasheria Madrid.
Amekuwa Jaji wa Mahakama ya Jinai Venezuela.
Ni Wakili wa ICC.
Ni Wakili wa Watanzania.
GIRISHONI AKILI PIRITON
Waandishi mmewadhibiti kwa BODI YA ITHIBATI. Wanaojielewa mnawanyima PRESS ACCESS.
Mmewatumia VITISHO, MNAWAPA SCRIPTS za KUSEMA!
MNASHINIKIZA MEDIA OWNERS juu ya Maudhui, baadhi MNAWAHONGA PESA. Wengine mnawapa KESI ZA UHAINI na UCHOCHEZI. Alafu unajiongelesha kama kuna FREEDOM OF PRESS ?!
Umeita PRESS YA MCHONGO; hujaalika Media za Kimataifa? BBC, DW, Al Jazeera, CNN? vipi THE CHANZO, JAMII FORUM?
Waandishi kwenye Press wanaogopa hata KUULIZA MASWALI YA MAANA (ALAFU NYIE WAANDISHI UCHWARA SITOWATETEA TENA KWA KUENDELEA KUTUMIKA KINGESE. Ndio Maswali gani hayo mnauliza? ) 😡
JOURNALISM ya ukweli inaripoti News “WITHOUT FEAR OF FAVOR”! Nyie mnawajengea Waandishi fear, na mna approve News only zikiwa-favor. Eti “toa habari Kimkakati Kulinda nchi”. KULINDA NCHI AU WANASIASA MLIOPORA MADARAKA Kinyume na Utaratibu wa KIDEMOKRASIA?
“If you want to hear good news about your country, go to the Tourism Website. My job is to cover Africa accurately, not positively” - Larry Madowo
Yaani GIRISHONI umeshindwa ku-deny unequivocally allegations za BBC na CNN reports, unasema “THEY ARE BIASED” na sio “THEY ARE NOT TRUE”
GUESS WHAT, they are biased ila ni za Point of View of VICTIMS mnao endelea kuwanyanyasa, kuwakatia Internet, kuwatishia wasisambaze clips, kuwaua na wengine kuwaweka jela. Mmegoma ku-side na Victims acha kina Larry wafanye!
Kama hamkutaka Biased Exposé, na nyie mngemtumia LARRY clips za upande wenu ili apate a better VANTAGE POINT.
AKIL NDOGO kama Piriton, Press imeishia kuwa-expose bila kujua: Unalilia Haki, Uwazi, Uwajibikaji (How preposterous is that). Umeishia kukiri Videos ni za Watu na sio AI, Umeishia ku-acknowledge Mauaji mliyokuwa mnakwepa. Umedai mmesikitika, wakati ndio mmeyafanya and proved you’re DISINGENUOUS! Kuongelea Utalii badala ya Uhai, inadhihirisha HAMNA UTU. Kuongelea SGR ina maana hamjajifunza na ni delusional (yote yalisemwa na bado hawakupiga kura). Unasema CNN WAPOTOSHAJI, je nyie mliosema Vurugu, Mara Sio Watanzania, Mara AI, Mara Wahaini, Mara Vifo. Nani Mpotoshaji hapo? GIRISHONI UNAWAAIBISHA WAHEHE
HAKIKA DAMU ZA MASHUJAA WETU ZIMEANZA KUONGEA
The Leader
Where others would rather choose darkness, we shine the light.
From Kenya to Tanzania and beyond, The Standard tells African stories that matter because every story deserves a voice.
#FactsFirst
1. Tanzanians learned maandamano from Kenyan Gen Zs.
2. Kenyans have learned from Tanzanians that, during maandamano, you should only target businesses owned by politicians and celebrities supporting the regime.
3. The next maandamanos in Kenya will be epic.
I am very interested in Tanzania Intelligence and Security Service (TISS). Who are the guys behind it? How do they operate all over the world? Their wives, children etc. What they own...Good Tanzanians must give us this info and we will clean TZ. for you. We know where to pinch!
DID YOU KNOW?: Tanzania’s first female president, Samia Suluhu, is seeking re-election on October 29. But there’s nothing democratic about it. Every major opponent has been jailed, disqualified, or disappeared.
Power looks noble until it starts silencing everyone who dares to challenge it.
🔴⚪ IT IS TIME, SIMBA FANS! 👋
Sorry to keep you waiting but you know I had to make sure the details are 🔒 before dropping them.
Your favorites tried… but none can serve it the way we do right here. 😉🔥
Stay locked in, the BIG Simba news is coming up! 🦁
#NguvuMoja • #AfricanFootball • #SimbaSC
⏰ FT’ | Selected Results Across Africa 🌍⚽
🇳🇬 Rivers United 1-0 Niger Tornadoes
🇹🇿 JKT Tanzania 1-1 Azam
🇹🇿 Simba 3-0 Namungo
🇲🇦 AS FAR 1-1 IR Tanger
🇲🇦 [In play] RS Berkane 3-1 Yacoub El Mansour
🇿🇦 Kaizer Chiefs 1-1 AmaZulu
🇲🇿 Black Bulls 3-2 Baia de Pamba
🇹🇳 AS Marsa 0-3 Esperance de Tunis
🇹🇳 CS Sfaxien 0-0 US Monastir
🇹🇳 Etoile du Sahel 1-1 Stade Tunisien
🇺🇬 BUL 1-0 Maroons
🇺🇬 Entebbe UPPC 2-1 Lugazi
🇧🇮 Royal Vision 5-0 Green Farmers
🇧🇮 Muzinga 2-2 Aigle Noir
🇧🇮 Inter Star 4-1 Garage Express
🇰🇪 Mara Sugar 0-1 Nairobi United
🇰🇪 Tusker 0-0 Mathare United
🇰🇪 Police FC 0-0 Ulinzi Stars
🇨🇮 Racing d’Abidjan 2-0 Academie de FAD
🇨🇮 SO Armee 1-2 San Pedro
🇲🇼 Mzuzu City 2-1 Mighty Tigers
Plenty of action, goals and drama across the continent! 🔥
Thoughts? 💭
#AfricanFootball