Huyu mtoto Anaitwa korede Taiwo wa Uko Nigeria hapa Alikua na Miaka 9,alifiwa na mama yake Mzazi kisha baba yake akaoa mwanamke mwingine,huyo mtoto alifungwa minyororo na mama yake wa kambo kisha kuwekwa kwenye chumba kama mfungwa bila chakula chakutosha na maji.
Inaendelea chini