@SantosMwine Yes we wish all african team succed except south africa,they are required to return home fast to secure they own jobs taken from fellow africans
@Royaltv_plus Kwamba mbunge anakuwa serikali huyu nae anafikiri watz wajinga.kazi ya mbunge ni kwenda kuwasilisha kero na wananchi kwa serikali kupitia bunge hakusanyi hela wala kodi yeye atawekaje hiyo alama
Fainali ya UEFA inapigiwa ndani ya uwanja huu uliopewa jina la legend wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hungary yaani Ferenc Puskás. Unabeba watu 68,000, ndani una makumbusho, bar, hotel, supermarkets, mahala wanapoketi viongozi wa juu nakadhalika. Kila la heri kwa Arsenal.
@EngMapundajr 😂😂👋 huo ubavu malawi hawana maanake wanategemea vitu vingi sana kutoka kwa trump.Malawi wanakuona kwa trump kama mbinguni vile sio milio ile
@TheChanzo Watu wanatekwa bunge halijawahi kukaa hata kuongelea leo USA anataka kufuta viza msiende kwake milio kila sehemu 😂👋.This is Africa si mlisema marekani sio mbiguni jamani hawa wabunge ni wawakilishi wa wananchi au gvt?
@JohnNgutiCDM Matapeli tuu nyie umepiga pesa unaanza mara chaumma mara vile nyie wote waganga njaa mnawaingiza vijana kwenye mihemko wakiamini kweli nyie wanaharakati wa kweli hakna mpinzani hapo