Maneno mazuri yanahusishwa na Ibn alQayyim [Mwenyezi Mungu amrehemu]:
“Usiharibu furaha yako kwa wasiwasi, wala akili yako kwa mawazo mabaya, wala mafanikio yako kwa kiburi, wala matumaini ya wengine kwa kuwakatisha tamaa, wala siku yako kwa kuangalia jana!
@RahmaMwita Hongera. Haifai kuita jina la Abdulrasul kwa maana hili linaegemezwa kwenye shirki. Abdul rasul maana yake ni "Mja wa Mjumbe". Unaweza kumwita Abdul lakini mbele yake iwepo sifa ya Allah kama Abdulrahman, AbduRahim, AbdulAllah, AbdulQadir.
@EduTalkTz@SuluhuSamia Walibywa walifanya maandamano na wamepata walichotaka hali zao zikoje? Sudan wamefanya maandamano wakapata walichotaka jee hali zao zikoje?
@sabramachano Kwa hiyo solution unaona ni vyema adai talaka? Ujue hizi clip zako zina mchango mkubwa kwa watoto wa kike wengi kudai talaka kwa viji sababu kuwa tabia mbaya. Hakuna mtu mkamilifu