Sijui ni kwann ila mwalimu ndiye mtu anayefanywa kama jalala na kazi isiyokuwa na thamani nchi hii. Huku yy ndiye ametubadili akili tukaacha mambo ya nyumbani na kujua kusoma na kuandika na mwisho ni mawaziri, rais,professor nk.
Lini nchi hii tutamuheshimu mwalimu?
@madeinmusoma Uamuzi tuu but frame two niupumbavu ...mwanaume ndo huwa anaomba mwanamke amkubalie kuwa mchumba wake ili aanze taratibu zakumuoa na anaweza akapiga goti au asipige niuamuzi wa mwanaume.. but hiyo ya binti unaombwa na unapiga goti😂😂😂nonsense mataputapu kabisa
@Meddyhassan@IamLASWAI @TheHeadofstat3 @masoudkipanya Nashangaaa hizo nguvu za kusport Israel inatoka wapi wakati they are racist na hawapendi nchi zingine
@IamLASWAI@Meddyhassan @TheHeadofstat3 @masoudkipanya Yaan mtu aje kwako umpokee kisha achukue Ardhi yako, aue ndugu zako yet uendelee kukaa kimya???? Kuna watu wanaunga mkono Israel kisa sababu za kiimani, imani ya nyoko kuua watoto na wanawake
🤣🤣🤣 yani unanifurahisha kwa kweli... kwa imani zipi za diini???????????? Just for your information Palestine kuna wakristo na yuhud pia sio waislamu tu
@Meddyhassan @TheHeadofstat3 @masoudkipanya Binafsi najua kabisa Israel NI mgeni, lakin kwasabb ya kidini nawaunga mkono,( I sorry for that) imani yenu mmezoea San kuwapiga wat n wao hawareact. But there in middle east mmekutan na chuma Cha pua, hay pambaneni
Hamna aliyesema kulipua watu ni jihad ... that’s your opinion! Deen yetu ni ya Amani!!! Isitoshe Israel wanachukua nchi by force ... this is not a war of religion get your facts straight braza
@Meddyhassan @TheHeadofstat3 @masoudkipanya Naweza nisiwe sahihi, lakin Israel wanaroho safi san, wakitaka kulipua sehem wanatoa alerts kuwa wat waondoke,(uliwah ona wap hii). Lakin mbona wakat wat wanalipua kenya, Nigeria n.k n.k mnasema n jihad, now let jihad lead