Umepambana wazazi, ndugu au wasamaria wamesaidia umeweza kuhitimu elimu yako. Umekuja mjini,umehangaika kutafuta cha kufanya, labda umepata ila kipato sio, labda hujapata. Saa hizi umejilaza unawaza ufanye nini na haya maisha. Usiache kujaribu, kuamini na kuomba. Fungu lako lipo.