HAPPY BIRTHDAY TO ME..πΉπΉ
Ee,MUNGU Baba Muumba Mbingu na nchi Ninakushukuru kwa Neema Yako Pia Kunifikisha Siku Yangu Ya Kuzaliwa,Nitaendelea kurudisha Sifa Na Utukufu Kwako Ewe MUNGU Mkuu.ππ
#Happybirthdaytome
HIZI NDIZO BIASHARA UNAZOWEZA KUFANYA KWENYE MIKOA 26 YA TANZANIA.
Pia nimeunganisha na mawazo 190 ya biashara
Kupata hii PDF yenye Pages 10.
commment "nahitaji"
"Repost" hii post
Na, hakikisha umenifollow ili niweze kuingia kwenye inbox kukutumia.
π
UKIFANYA HIVI UTAANZISHA BIASHARA YOYOTE DUNIANI.
PDF ina inapages 13 za moto π₯
Utaipata sasa hivi hakikisha
umenifollow
Niweze ingia inbox kwako π
Repost alafu comment "TAYARI"
Nakutumia ndani ya Sekunde moja
#wekezanami
Habari WATANZIA..πΉπΏπΉπΏ
Mashabiki zangu kwa ujumla. Mmekuwa ni familia yangu kwa mda mrefu sasa, Bahati nyingine tena Kutoka South Africa πΏπ¦
Ndugu yenu, kaka yenu, mdogo wenu na kijana wenu NISHAIIIII nimechaguliwa kuwania Tuzo za Shinging Star Africa Awards2024 (SouthAfrica) katika category YA BEST STAR FORCE IN COMEDY na BEST INSPIRATIONAL MAN OF THE YEAR
Ingia.
https://t.co/VCqiGs7ijW
VOTE:
Sms LUCAS MHUVILE (JOTI) to 35073
MWAMBIE NA MWENZIOπππ
@sajo_mwaihabi MAGIGE ELECTRIC π‘ works, sisi tuna deal na suala Zima la kufanya wiring katika nyumbani, electric installation, BACK UP SYSTEM & etc. KARIBU TUKUHUDUMIE
Ndugu zangu wa CONSTRUCTION field, watu wengi wako ktk ujenzi wa miradi ya nyumba zao. Na kipindi hiki watu wengi wanajenga.
Sasa kutana na wateja wako hapa leo.
Weka details za ofisi yako, huduma yako na mawasiliano yako ili upate wateja.
Hapa nawazungumzia:-
1. Civil engineers
2. Architects
3. Plumbers
4. Masonry
5. Painters & Home Decor
6. Timber dealers
7. Wauza mchanga & Kokoto
8. Hardware stores
9. Welders
10. Security Cameras & Electric Fence
11. Pavement
12. Brick sellers
13. Aluminum Technicians
14. Carpenters
Ukipata mteja mpe huduma nzuri, Jenga UAMINIFU na ongeza Network ya wateja wako.
Niko hapa ntar3p0st
Kuna Namna unaweza ukawa sehemu ukasahau simu bahati mbaya na ghafla ukarudi ukaikosa na ukipiga haipatikani
Fanya hivi mda huo huo kuipata bila kumlipa Mtu au Taasisi ....
Thread π§΅
Repost π
Bookmark π
Follow @techygaspar
Shuka nayo ππΎ