‼️ABDUL ANAWASHINIKIZA MAJAJI WATOE UAMUZI WA KWAMBA MHE.LISSU ANAKESI YA KUJIBU‼️
Jaji Ndunguru na japo lake walishaandika uamuzi kwamba Mhe. Lissu hana kesi ya kujibu.
Lakini cha ajabu ni kwamba tangu juzi, Jaji Ndunguru na jopo lake wanakabiliwa na shinikizo kubwa kutoka kwa Mtoto wa Nduli Idd Amin Mama Abdul pamoja na baadhi ya maofisa wa TISS ambao wanataka Jaji Ndunguru na japo lake wamkandamize Mhe. Lissu kwa kusema kwamba anakesi ya kujibu licha ya kwamba hata wao wanajua kwamba hana kesi ya kujibu.
Jana, Abdul alituma watu wa TISS mahali ambapo Jaji Nduguru na wenzake wanafanyia kazi zao ambapo watu hao wa TISS walimpelekea Jaji Ndunguru UAMUZI ambao umeandikwa TISS & Abdul, ambao unasema kwamba Mhe. Lissu anakesi ya kujibu, wamemwambia Jaji Ndunguru kwamba lazima ausome huo UAMUZI kama ulivyo wasipunguze wala kuongeza neno.
Abdul na watu wa TISS wanafanya haya lengo ni kumkomoa Mhe. Lissu ili aendelee kusota Gerezani, Wanadai kwamba Mhe. Lissu anakiburi kwasababu mara kadhaa Nduli Idd Amin Mama katuma watu Gerezani wakamwambie Mhe. Lissu kwamba Nduli yupo tayari kumsamehe ila sharti lake ni kwamba lazima Mhe. Lissu akubali kuipeleka CHADEMA kwenye Maridhiano, Na Mhe. Lissu majibu yake mara zote huwa anawaambia haitaji kusamehewa kwasababu hakuna kosa alilotenda ila kama wanafuta kesi, wafute kwasababu ni kesi ya uwongo.
Yani, yale yale maujinga ambayo Abdul na Prof. Kabudi walifanya kwenye report ya Tume ya Jaji Chande ndo hayo hayo anarudia kwenye uamuzi wa kesi ya Mhe. Lissu.
Nchi yetu imefika pabaya sana, Imagine Majaji na usomi wao wote then anakuja mtu mwenye ubongo wa kuku kama Abdul ambae hana shule hana, anawaelekeza cha kufanya, Abdul hana nafasi yoyote Serikalini lakini amefika mahali sasa anaingilia hadi uhuru wa Mahakama na Jaji Mkuu anaona sawa.
Mliokaribu na hawa Majaji waambieni kwamba kama wataamua kusoma UAMUZI ambao wamepewa na TISS, wajiandae kisaikolojia maana watakutana fedheha aliyokutana nayo Jaji Chande mara baada ya kusoma Report ya uwongo aliyoandikiwa na Kabudi na Abdul kuhusu Maandamano ya Oktoba 29.
Jambo jingine endapo watafuata maelekezo ya Abdul na TISS, historia itawakumbuka na Dunia haitasema uamuzi uliandikwa na TISS wala Abdul, bali itasema Jaji Nduguru na jopo lake walitoa uamuzi wa hovyo, walitumia nafasi zao za uJaji kukandamiza Haki ya Mhe. Lissu.
Good morning @SWAPOPRESIDENT
Kindly see below! Tell Deputy CJ Damaseb to keep away from #Tanzania as the murderous Samia Suluhu cannot set up any commission to investigate herself as she is the main culprit!
Do not SOIL your reputation or that of Namibia! Suluhu and CCM are beyond saving and they are already dying a natural death!
#SamiaMustGo #CCMmustgo
كشفت صحيفة نيويورك تايمز عن مقطع فيديو يظهر تلقي ليندسي غراهام تعليمات من نتنياهو للتنديد بالمحكمة الجنائية الدولية، التي أصدرت مذكرة اعتقال بحق نتنياهو.
وقد لبى السيناتور ليندسي غراهام الأوامر وقام بحشد مجموعة من النواب الأمريكيين لمهاجمة المحكمة الجنائية الدولية بشدة، والتي كانت تحقق مع نتنياهو ووزراء في حكومته بتهمة ارتكاب جرائم حرب
انتهت تلك المؤامرة بتلفيق تهمة التحرش الجنسي للمدعي العام وطرده من منصبه.
Trump'dan su tabancası yorumu 🤣
"Arkadaşım Erdoğan bana bu MUazzam toplu tabancayı verdi. Harika bir silah, değil mi Peter? Bazı Avrupalı liderler bunu kendi ülkelerine bile sokamadılar. İnanabiliyor musun? Belki de onlara su tabancası vermeliydi! Bu adamlar Avrupa'yı nasıl savunacaklar, bilmiyorum..." 🤣🤣🤣
. @tedcruz@SenatorShaheen@Europarl_EN@UN
Please don’t fall for this so-called “reconciliation.” There has been no reconciliation in Tanzania.
ACT Wazalendo was formed by former President Jakaya Kikwete to weaken the country’s main opposition party, @ChademaTZ2. In Tanzania, people even refer to ACT Wazalendo as “CCM B” because it is seen by every Tanzanian as an extension of the ruling CCM rather than a true opposition party.
In fact, ACT Wazalendo participated in the October 29 election. So what exactly are they claiming to be reconciling? These two parties have long worked closely together.
You will not find a single Tanzanian who considers ACT Wazalendo a genuine opposition party. It is viewed as a political vehicle used by CCM to divide and weaken the real opposition.
SWAHILI
@tedcruz@SFRCdems@SenateForeign@SenatorShaheen
Tafadhali msidanganywe na hiki kinachoitwa “maridhiano.”. Hakuna maridhiano yaliyofanyoka Tanzania.
Chama cha ACT Wazalendo kilianzishwa na Rais wa zamani Jakaya Kikwete kwa lengo la kudhoofisha chama kikuu cha upinzani, @ChademaTZ2. Nchini Tanzania, wengi hukiita ACT Wazalendo “CCM B” kwa sababu kinaonekana kuwa ni mwendelezo wa CCM badala ya kuwa chama halisi cha upinzani.
Isitoshe, ACT Wazalendo kilishiriki uchaguzi wa Oktoba 29. Kwa hiyo, wanapatanishwa kuhusu nini hasa? Vyama hivi viwili vimekuwa vikifanya kazi kwa ukaribu kwa muda mrefu.
Utapata ugumu sana kumpata Mtanzania anayekiona ACT Wazalendo kama chama cha kweli cha upinzani. Watanzania wengi hukiangalia chama cha ACT Wazalendo kama chama kinachotumiwa na CCM kugawa na kudhoofisha upinzani wa kweli.
Natoa PONGEZI kwa Serikali kwa kugundua MIPANGO MIBAYA dhidi ya nchi yetu. Ili kuendelea KUIMARISHA USALAMA nchini, naiomba Serikali IWALIPE VIJANA FEDHA NYINGI ILI WASIANDAMANE. Nina UHAKIKA, vijana WAKILIPWA hata TZS 20,000 TU kwa kila mtu, HAKUNA KIJANA ATAKAEANDAMANA.