Ni miaka 5 yenye mafanikio makubwa ya ukuaji wa Chama chetu @ACTwazaIendo katikati ya changamoto lukuki za Utawala wa kidikteta, hali ngumu ya maisha ya Watanzania na ukandamizwaji mkubwa wa Demokrasia. Kwa mapenzi ya Mola tutavuka vikwazo na kuongoza Watanzania #ACTDay
MJADALA WA KITAIFA WA AJIRA
"Soko la ajira linaleta watu milioni 1 kila mwaka, wanaopata ajira; za Serikalini na binafsi, ni watu elfu 60 tu."
Kiongozi wa @ACTwazalendo@SemuDorothy
Tukutane Kesho Aprili 04, 2025 Hichilema Jengo la Maalim Seif
#AjiraKwaWoteMaslahiYaWote
Mjadala wa Kitaifa wa Ajira unaendelea hapa katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema Makao Makuu ya @ACTwazalendo Magomeni Dar es salaam.
#AjiraKwaWoteMaslahiYaWote
Leo Aprili 04, 2025 Waziri Mkuu Kivuli, Ndugu @MchinjitaIR ameshiriki kwenye Mjadala wa Kitaifa wa Ajira uliyofanyika katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema ulioko Makao Makuu ya @ACTwazalendo Magomeni jijini Dar es salaam.
#AjiraKwaWoteMaslahiYaWote
Operesheni hiyo itaenda Tanzania ili kukutana na wanachama pamoja na watanzania juu ya umuhimu wa kulinda Demokrasia na kupigania mabadiliko mbalimbali ya Uchaguzi.https://t.co/RQGr8bFu0C
"Tunapigania thamani ya karatasi ya kura. Karatasi za kura zisiwe kwenye mikono ya mabalozi[wa CCM], polisi au maofisa wa Usalama wa Taifa. Mpigakura aikute kwenye kituo na aiche kwenye kituo, isitoke nyumbani kwa mtu". @zittokabwe#OperesheniLindaDemokrasia
Lindi:29/03/2025
"Tutashiriki uchaguzi mkuu kama ulivyopangwa, na suala la 'No Reform, No Election' ni la CHADEMA pekee, si la vyama vyote vya upinzani kama inavyodhaniwa," - Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa NCCR-Mageuzi, Joseph Selasini,
Kazi ipo!!!! @Nnauye_Nape mwaka mmoja tu unajiona umefanya mambo ya kuanza kujinadi na kufanya maadhimisho ya Mwaka mmoja sioni ulichokifanya ndani ya huo mwaka mmoja unaodai kuwa ni wa kuaminiwa na hiki unachokifanya kinakudharirisha acha mashindano na Rais wako.
Shukrani kwa Baba Askofu @EmmausAskofu kwa kutupa muda wako adimu na kututembelea @ACTwazalendo ambapo tulikuwa wasaa wa kuzungumza mambo mbalimbali kwa faida ya nchi yetu.
#FedhaZaMuungano Mwaka 2019 @ACTwazalendo tulifanya Hesabu za mgawo. Tulitumia kanuni ya 4.5%. Mgawo wa 4.5% unatokana na ushauri wa IMF na kupitishwa na Serikali ya Waziri Mkuu John Samwel Malecela mwaka 1994. Mgawo huu hutumika hivi sasa kugawa Misaada na Mikopo kutoka Nje
Heri ya siku ya Muungano kwa watanzania wote. Tunaamini katika muungano wa haki, uwazi na usawa kwa kufaidisha kila upande.
#kazinabata#siasazamasuala#Muunganoday
Umenena @zittokabwe. Tuombe kwamba historia hiyo ibakie hivyo kuwa ni historia - taarikh ya kutukumbusha kutoyarejelea maovu yaliyopita kwa dhamira ya kuijenga Zanzibar Mpya.
“Tunampongeza Rais Samia Kwa hatua mbalimbali ambazo anachukua kurekebisha mambo. Jana ametangaza kufungulia vyombo vya Habari. Uhuru wa habari ni jambo kubwa Kwa maendeleo ya Nchi yeyote Duniani. Hata hivyo bado hatua zaidi zinatakiwa ikiwemo kuitazama upya sheria ya Habari. >>>
Zege halili! Katibu Mkuu @AdoShaibu pamoja na viongozi wa @ACTwazalendo mikoa ya Kanda ya Ziwa wakiendelea na kikao cha mashauriano. Kikao hiki kilimehudhuriwa pia na Mwenyekiti Taifa wa Ngome ya @ACTWanawake Ndg Mkiwa Kimwanga.
#ACTWazalendo#Siasazamasuala#Chamanivikao
“Rais anafahamu kuwa kuna Watanzania kadhaa wapo uhamishoni Kwa kuhofia maisha yao na familia zao kutokana na siasa zilivyokuwa. Wengine wanasiasa na wengine wana harakati. Rais Samia awahakikishie usalama wao ili warudi tujenge Taifa letu."
Kiongozi wa @ACTwazalendo@zittokabwe
@bbcswahili Hii taarifa inaninginia nyie kama chombo cha habari tena cha kitaifa mnapaswa kutuambia imethibitishwa na nani na wapi? maana mimi kama msaomaji nashindwa kuelewa najiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu kwa sababu mlioleta stori hamjayajibu.