Chimbuko la upasuaji wa kumtoa mtoto tumboni kuokoa maisha
👉Historia ya tiba inaonyesha,falme za Afrika Mashariki zilikuwa na njia za kisasa za kuokoa maisha ya mama na mtoto hata kabla ya wazungu
👉Mpelelezi R.Felkin alikuta Falme za Bunyoro wanafanya upasuaji #ElimikaWikiendi
My brother will be remembered for the great guy that he was. I know you will miss him very much as we all will. Please extend my sympathy to your entire family😥😥😥
https://t.co/TrN2rfeNoU
Mhe @SuluhuSamia ktk Uzinduzi wa mashine 2 mpya na za kisasa za Mionzi kwa ajili ya kutibu Saratani (LINAC) zenye thamani ya shs 9.5b. Fedha hizi zimelipwa na Serikali ya TZ kwa 100%. Tunamshukuru Rais Mhe @MagufuliJP kwa kutuwezesha kuleta mabadiliko ktk sekta ya Afya nchini..
Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani 20 Machi 2019.
Kaulimbiu ya mwaka huu ni: Sema Ahh! Chukua hatua zinazozingatia afya ya kinywa na meno.
#afyayangumtajiwangu
@umwalimu
@DocFaustine@elimuyaafya