Miaka 10 ijayo taifa la Tanzania litakuwa na watu wajinga zaidi ya milioni 43
Yaani kwenye kila watu 10 tutakuwa na wajinga kati ya 6-8.
# serikali inaamini singeli ni ajira rasmi.
Kadri unavyojiona huwezi fanya jambo fulani utashusha hadhi yako ndivo unavyoukaribia umasikini kwa kasi
# kuna waliofanikiwa kwa kuona fursa katika uchafu