karibu Kwa matengenezo yote ya Aluminium,UPVC, balcony na welding products. Ofisi zetu zipo mbezi mwisho barabara ya kuelekea Goba tupigie/text wasap 0717748020
Ktk misiba kijijini kuna ile we fulani njoo unamuona huyu,huyu na wewe ni ivi yule ni ukoo wa shio fredick,kisha ww ni wa kimaro swai,mama yake na mama wa bibi yako na mzee wa yule ni baba 1 mama 1. Siwafichi mimi apa uwaga siokoti kitu 😂. Niambiwe tu huyu ni ndugu yako enough
HOW TO DRAW CLOSER TO GOD 2026
1. Start your mornings with prayer.
Invite God into every day.
2. Open your Bible before touching your phone.
3. Talk to God about what's heavy on your heart.
4. Practice gratitude daily.
5. Stop stressing about what you can't change.
6. Thank God for small blessings throughout the day.
7. Let go of the bitterness you've been holding onto.
8. Talk to God about everything.
9. Fast from what feeds your flesh more than your faith.
10. Spend more time in His Word, not just in your thoughts.
11. Stop giving time to things that pull you away from Him.
12. Spend time with people who push you closer to Jesus.
13. Don't isolate; you need community to grow.
14. Be kind to yourself, grace is part of growth.
15. End the day in prayer: reflect, repent, and thank Him.
#TajiriLaKihaya
WAISLAMU Kwa WAKRISTO Sisi ni Ndugu….
Tumeoana, tunaishi pamoja,Sisi ni marafiki… tunafanya biashara pamoja,Tunazika pamoja,tunahudhuria sherehe pamoja… katika familia zetu ni mix ya Wakristo na waislamu…
Kama mjomba wako sio dini tofauti basi atakuwa shangazi yako… Kama sio Binamu yako basi atakuwa shemeji yako…
kuna Waislamu wamesoma shule za wakatoliki na kuna Wakristo wamesoma Islamic schools…
Hata siku moja tusikubali kutengana,tusikubali kuchukiana…
Adui wetu sio Dini zetu… infact Sisi ni Ndugu…
Kila mtu hapa Akiulizwa vizazi 20 nyuma- mababu wa mababu zetu hawakua na hizi DINI… Sisi ni waafrika Sisi ni Watanzania…
hata siku moja kodi haichagui dini, sera mbaya zikitungwa bungeni hazichagui dini… mvua ikinyesha haiwanyeshei waislamu tu au wakristo tu… kifo kikija hakichagui Dini, wote tunakufa, Umasikini au Utajiri hauchagui DINI…
Kama Mungu Hatubagui,iweje Sisi tuanze kujibagua???
Tusikubali huu mchezo Divide and rule,,, tusikubali hii Tenga utawale inayoletwa kimya kimya….
Tusijadili DINI zetu maana mwisho wa siku itamfaidisha anaeleta hizi agenda…
Juzi tu tuliona- Zile Risasi hazikua zinachagua Dini… Lockdown haikua Kwa wakristo tu hata waislamu tulikua ndani… mtandao ulipokatwa hawakukatiwa Wakristo tu hata waislamu tulikatiwa…
Tusikubali kutumiwa…
Hata iweje hata siku moja KIJANA usifikirie Kuchoma MSIKITI Au KANISA…
Hata siku moja KIJANA usikubali kuchoma Qur’an au Biblia…
Vita za Dini ni mbaya saana … tusiende huko!
SISI TUNATAKA KATIBA MPYA, Tunataka tume Huru ya Uchaguzi, Tunataka KURA yetu iheshimiwa- Our votes must Count , tunataka viongozi tuliowachagua wenyewe… tunataka wafungwa wote wa kisiasa waachiwe… haijalishi ni Dini gani!
Tunataka Uhuru wa Vyombo vya habari, tunataka uhuru wa kutoa maoni, Utekaji ukomeshwe,watu wasiojulikana wafahimike…
ADUI WETU SISI SIO WAKATOLIKI AU WAISLAMU…
Adui wetu Sisi sio DINI zetu…
FOCUS 💯