@palamasya Kwanza yeye si msanii wa kuimba ni Rapper, pili anza kuamikia wakubwa zako, tatu kafenye reseach kabla hukaka hara hapa kama bata. Nne mikataba ya wasanii na mameneja wao hainuhusu. Point yangu ni, foundation ya tasnia ya "Infotainment" TZ ni Clouds FM. 88.5
MsTizee
Kama Madueke akiboresha final action yake basi kuna winger mzuri sana ndani yake . Akiwa anafanya dribbling dhidi ya opposition FB anaweza kwenda pande zote mbili, hard to predict but akishakamilisha ushindi wa duel yake , pale ndio pa kuboresha sasa