Moyo wangu unayaogopa mambo matatu,na la nne linanitisha:Uvumi mbaya mjini, genge la waovu,
na mashtaka ya uongo.
Hayo yote ni mabaya kuliko kifo.
Sira 26:5
Ni Maombi yangu kwa Mungu siku ya leo ikawe ya baraka kwako na kwangu pia. ๐
May my prayer to God today be a blessing to you and to me as well. ๐
LUKE 24:6:7
6He is not here, but is arisen: remember how he spake unto you when he was yet in Galilee,
7 Saying, The Son of man must be delivered into the hands of sinful men, and be crucified, and the third day rise again.
#happeaster#aguze#Christian
Aya ya siku
Ee BWANA, wewe u Mungu wangu; Nitakutukuza na kulihimidi jina lako; Kwa kuwa umetenda mambo ya ajabu, Mashauri ya kale, kwa uaminifu na kweli.
Isaya 25:1
Ndugu zangu @tanesco ni aina gani ya mgao toka asubuhi mitaa ya tegeta chuo cha mzumbe hatuna umeme, ukirudi hauna nguvu na ukaa kwa second 45 tu .๐ช๐ช
Ndugu zangu @tanescoyetutz nina siku mbili sina umeme ,nimekuja mpaka ofisin kwenu Rafia mbez Beach nikiomba kurudishiwa umeme lakin hakuna juhudi zozote,mpaka sasa ,nikipiga simu wanasema tuko njian almost siku nzima .
Hii ina kera sana.