@BracuszCadabra Kalenda yao kwa sio rafiki timu nyingi zinakuwa kwenye maandalizi ya msimu mpya, ni ngumu sana kuwapa MAGWIJI wa Africa Mashariki yaana YANGA na SIMBA ktk kipindi hicho.
@killo_killo11 Huku world cup tumeona madudu tena na VAR ikiewepo! Mfano tukio la Messi vs Algeria,lakini tumeona waamuzi wana amua vingine ila baada ya msaada wa VAR wanarekebisha maamuzi ya awali kwa bahati tumekariri mpaka ujinga