#TajiriLaKihaya
Wewe Kijana ulieajiriwa;
Achana na kufanya fadhila kwa kampuni yako, fanya kile unacholipwa na uende nyumbani.
Unapofanya kazi kwa kampuni kwa masaa 8, usiende nyumbani uangalie TV au Kucheza Game au kushinda mtandaoni…
fikiria kuanzisha biashara ili familia yako iweze kurithi,
Hawawezi Rithi kazi yako.
Kujifunza hakuishi…
وتلك الأيام التي كنت تريدها أن تمضي سريعة، كانت عمرك
Na zile siku ambazo ulikuwa unataka ziende haraka, (kumbuka kwamba) zilikuwa ni sehemu ya umri wako.
Ushawahi kuwaza
VP kama ndoto zikienda wrong?
VP kama juhudi zote zikipotea bure?
Vp kama ikishia kuonekana nipo nipo tu?
Vp kama kila ninachojaribu kikifeli?
VP kama sitaona mwanga wa milele na nitaishia kwenye madhambi tu?
Vp kama zitafanikisha kupata mabadiliko?
Baada Ya Kufunzwa Na Ulimwengu Sishangai:-
1.Sishangai Mwanaume akiondoka Kwake Akaacha Kila Kitu akamuachia Mwanamke na Akaenda Kuanza Upya Kabisa
2. Sishangai Mtu mwenye Miaka 40 kumlilia baba Yake aliyefariki miaka 10 iliyopita
3. Sishangai Mwana Kukosa Usingizi siku zaidi Ya Mbili
4.Sishangai Mwana Akiwa anasali Machozi yanamtoka na analia Kwa Uchungu sana
5.Sishangai Kuona Mwana hafurahishwi/Halizwi na Chochote tena
6.Sishangai Kuona Mtu Hapewi Support na Yeyote
7.Sishangai Kuona mtu Haaminiwi Na Yeyote
8.Sishangai Kuona Mtu hayupo Sober Mda Wote
9.Sishangai Kuona Mwana Anaondoka Home Na Kupoteza Mawasiliano Kabisa na Kwao
10.Sishangai Kuona Mwana Hajihusishi na Siasa wala Mpira
Ukweli wa maisha ni kwamba dhoruba hazikwepeki magonjwa,migogoro ya kifamilia, uchumi mgumu,vita za kiroho au hali ya nchi kubadilika.
Hivyo, ni muhimu kujenga nguvu ya akili na hisia, kuwa na imani, na kujiandaa ndani kwa ndani ili kusimama imara hata siku ngumu zinapofika.