Juzi Dada Mmoja Alinitafuta Na Kunielezea Changamoto Anazopitia Kwenye Ndoa Yake, Ya Kwamba Mume Wake Wa Ndoa Ametelekeza Familia Na Amefungiwa Na Mwanamke Mwingine Somewhere, Hatumi Matumizi Wala Hajui Watoto Wanaendeleaje…….. Niliumia Sana Nikamshauri Mengi Dada Huyu Lakini Yeye Akanijibu
“MI NAMUACHIA MUNGU”
Booooooom 💡 Nikapata Idea Niandike Wimbo
Niuite “MI NAMUACHIA MUNGU”
Nimeurekodi Jana Na Mimi Nimeamua Ku-Deal Na Mwanamke Aliyemfungia Mume Wake……‼️ Labda Tu Aamue Kuwa Sikio La Kufa Huko Aliko!!
Inaitwa #NamuachiaMungu Itakwepo Kwenye Album Yangu #NipeniMauaYangu 💐
#TheAlbumIsComing 2023
Ndugu mwanaume,
Dunia haikupi machaguo mengi .
Unakuwa na very limited options.
Unabanwa sana kila kona.
Hata mambo yawe magumu kiasi gani.
Usikubali kurudisha mpira kwa kipa.
Komaa, pambana.
Hakuna kukata tamaa.
Kila ukitaka kukata tamaa,
Jiulize kwa nini ulianza?
Kama unakata tamaa,
Ndo tuseme umekubali kufa
au kutoweka kabisa?
Mwisho wa siku ukikata tamaa,
bado utahitajika kurejea.
Sasa kwa nini kukata tamaa?
NISEME TU:
Hamna option,
Lazima #Tutoboewote
Mwanaume linapokuja swala la SEX hautakiwi kabisa kuwa mvumilivu.
USISIKILIZE maneno ya kijinga kutoka kwa mwanamke kama vile:
• Tufahamiane vizuri kwanza
• Mimi ni mlokole sex ni mpaka niolewe
Mtu ambaye amekuwa sexual active hawezi kukunyima iyo Wet'Crack kabisa unless hajakuelewa kabisa.
Kama anakataa kujali hisia zako za kimwili, usijilazimishe. Nenda kwa mwanamke mwingine.
Sex should come first then relationship can be discussed kutokana na tabia zake na mwanaume ndio mwamuzi wa kuwa na mahusiano au la.
Sex ni Gundi inayoshikilia uhusiano kati ya mwanamke na mwanaume pamoja, bila Sex huo ni 'urafiki' tu.
Na maranyingi unakuwa 'URAFIKI WA UPANDE MMOJA' Ambapo mwanaume utatoa rasilimali zako kama pesa, muda , attention and likes pasipo kupata chochote in return.
Mpenzi wako unayemthamini sana lakini hakupi kipochi kuna mwanaume mwingine anaichapa bila limit na hatoi vitu kama unavyotoa.
Unajiepusha kumkosea eti kisa ni mlokole Lakini, kwa ground anatoa style kibao kwa Bed kwa mwanaume anaemuelewa.
Unapomfuata Mwanamke hakikisha unaweka Demands zako kwanza, sasa unamtaka wewe badala uelezee uhitaji wako kwake unahudumia haja zake yeye ili akuelewe STUPID.
NEVER be good, nice and understanding.
Be direct kama atakataa, yeye pia hatoweza kuwa anaomba omba mahitaji yake wakati anajua alikukataa tofauti na ukijifanya rafiki akakuzoea.
Hii inaokoa gharama na kukuondoa kwenye eneo la kunyonywa as well as kuwa friendzoned.
" Tusichanganye Dini na Siasa " Baada ya hii kauli kutoka kwa Rais Mst Mh J.Kikwete kumekuwepo na FIKRA tofauti ktk mjadala.Pengine ni kwa sababu ametoa kauli wkt TEC wametoa waraka wao kuhusu uwekezaji bandarini otherwise ni kauli nzuri.Swali ninalo jiuliza hata mimi , Je,ni muda gani sahihi wa kusema ukweli na ni muda gani sahihi wa kuficha ukweli ?Pili , Je,Viongozi wa CCM wanayo legimacy ya kusema maneno haya wkt CHAMA chao ni mafundi wa " Divide and rule".Lakini naamini pia JK anaweza kuwa ameona trend ya mwelekeo wa Nchi haswa kwa watetezi wa uwekezaji wa bandari toka mjadala huu kuanza na akafikiri asikae kimya zaidi wkt mpasuko unaendelea kuwa mkubwa.CCM kwa miaka yote wamekuwa wakitumia kila njia kugawa watu kwa maslahi yao.Wkt CUF Inaimarika miaka ya nyuma CCM walipita Makanisani kwa Wakristo wakiwaambia kuwa CUF ni Chama cha Waislamu na wana malengo mabaya dhidi ya Wakristo. Wakristo wengi walijitenga na CUF kwa sababu ya Propaganda hii.Wkt huo IGP Mahita (Mwislamu) alitengeneza propaganda feki ya kontena la majambia limeshikwa bandarini mali ya CUF kuja kuteketeza Wakristo.Hiyo kesi sijui imeishia wapi mpaka leo.
Wkt CHADEMA inaanza kuimarika. CCM waliingiwa hofu,wakaendelea na kazi tena ya kugawa watu, wkt huu ilikuwa " CHADEMA Chama cha Kaskazini/Wakristo" CHADEMA tulipingana na proganda hii ambayo ilifanywa na viongozi waandamizi na machawa ndani ya CCM kwa nguvu zote na wkt Dr Slaa anagombea Urais ilianzishwa kampeni chafu kuisaidia CCM na Rais JMK iliyopewa jina " Kura ya Maslahi" Niliongea jambo hili baada ya Uchaguzi ndani ya Bunge na kulikemea.Nilitakiwa kuthibitisha kauli zangu ndani ya Bunge, Spika Anna Makinda alinipa siku saba , mimi niliomba dakika saba tu, nitoke niende hotelini nilete ushahidi, Anna Makinda akashituka ,kuna watu wakatumwa kwangu niweze kuwaonyesha ushahidi nilionao baada ya kutazama kirefu niliombwa niachane na hiyo hoja na watamweleza Spika kuwa wamefanya hivyo kwa maslahi mapana ya Nchi.
CCM tena ,wakati wa Bunge la Katiba CCM hawakuchoka na tabia yao.Wkt hoja ya Serikali tatu ktk mjadala wa Zanzibar/Tanganyika ilipokolea, CCM walianza kupita Makanisani, wkt huu walitumia viongozi wao waandamizi kutisha na kugawa Wakristo, William Lukuvi Wazir ktk Serikali ya Mh J.K (Mwislamu) alisimama Kanisani na kuwabagua vibaya Waislamu kwa nia ovu sana na Rais Jakaya (Mwislamu) hakuchukua hatua yoyote kwa Lukuvi hata kama maneno ya Lukuvi yaliligawa Taifa. Lengo likiwa kukwamisha malengo ya Zanzibar huru,ikumbukwe wkt huo pia Rais wa Zanzibar Mwislamu mjumbe wa CC CCM na anayeingia kwenye Baraza la Mawaziri Tanganyika alikaa kimya kwa kauli ya chafu ya William Lukuvi.
Mwaka 2015,CCM wakaendelea tena, wkt huu Edward Lowassa Mkristo alikuwa anagombea Urais dhidi ya John Magufuli Mkristo,tukafikiri propaganda zitakuwa ngumu , CCM wakaja na formula mpya ya Mkatoloki vs Mlutheri na siasa za ukanda zikaanza kuchomoza kwa mkakati ambao uliendelea mpaka Rais Magufuli anafariki.
Hatuwezi kuandika yote hapa ktk ukurasa wa X (Tweeter) Lakini ukweli ni kwamba CCM wametumia sana mbinu ya wagawe/watawale kwa muda mrefu sana na bahati mbaya njaa imetumika kama silaha muhimu kwa kufanikisha malengo haya.Hata sasa jitihada nyingi zitafanyika kubeza maoni ya TEC kwa njia hizo hizo.Taasisi yoyote iwe Kanisa/Msikiti muda wake wa kutetea raslimali za Nchi,haki na kweli ni wakati wowote na huu ndio wajibu wao .Je , wakati mzuri ni wakati gani ? Wakati mzuri ni wakati wowote na busara ni ukweli kuchukua hatua kila wakati.
Maneno ya Mh JKM ni maneno mazuri lakini anapaswa kuionya CCM wkt ana sauti na CCM wanapaswa kujishahisha.Kiongozi wa dini anapaswa kuwa wa kwanza kuona, kusema,kukemea,kuonya na kushauri mienendo yote inayotishia maslahi na ustawi wa Nchi.Huku sio kuchanganya dini na siasa bali ni kuchanganya akili na sias. Dini isichanganywe na Siasa lakini ni lazima siasa ichanganywe na hekima za Mwenyezi Mungu.