Maalim Seif aungana na waislamu wa mji wa Unguja katika sala ya Idd el Hadj iliyosaliwa katika mskiti wa Masjid Jibril uliopo Mji Mkongwe Mkoa wa Mjini Magharib Unguja.
"Nawatakia skukuu njema tufurahie kwa amani na upendo,lakini tuzidi kuwaombea dua Watanzania wenzetu waliopoteza maisha katika ajali ya kuungua moto kule Morogoro,na majeruhi Mungu awape afya njema"
Maalim Seif
Maalim Seif akiwa na waumini wa Kiislamu kwenye Msikiti wa Jibril hapo Mkunazini kwenye Ibada ya Swalah ya Eid leo tarehe 12/08/2019, kwenye Ibada hiyo Maalim seif alichukunua nafasi ya kuwakumbuka na kuwaombea dua ndugu zetu wa Morogoro waliofikwa na ajali ya moto.
UPDATE:
Kesi ya "uchochezi" inayomkabili Kiongozi wa @ACTwazalendo@zittokabwe imeanza hapa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Leo upande wa Mashtaka umeleta mashahidi 4. Shahidi wa kwanza anayeanza kuhojiwa ni Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Mkoa wa Kigoma Mark Njela.
1/2
Kesi ya 'uchochezi' inayomkabili Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itaendelea kusikilizwa kesho tarehe 14 Agosti 2019 kuanzia saa 2.30 asbh ambapo jumla ya mashahidi 6 wa Jamhuri wanatarajiwa kutoa ushahidi.
Viongozi wa Ngome ya @ActVijana waliopo Zanzibar waungana na wanachama wa chama hicho katika ziara maalum ya Mshauri mkuu wa chama cha @ACTwazalendo na mwanachama mwenye kadi namba moja Ndugu Maalim Seif katika kisiwa cha Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 6.07.2019.
Viongozi wa Ngome ya @ActVijana waliopo Zanzibar waungana na wanachama wa chama hicho katika ziara maalum ya Mshauri mkuu wa chama cha @ACTwazalendo na mwanachama mwenye kadi namba moja Ndugu Maalim Seif katika kisiwa cha Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 6.07.2019
Maalim Seif awataka vijana wafanye kazi kwaajili ya kuimarisha Taasisi yao ya ACT Wazalendo na kwa mustakbali wa maisha yao.
Maalim Seif ameyasema hayo leo 27.05.2019 ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar alipotembelewa na Makatibu wenezi Ngome ya vijana ACT..https://t.co/LtyD4J6MCo
Kesho Ijumaa tarehe 24 Mei 2019 kuanzia saa 1.30 asubuhi nitakuwa Star TV kwenye kipindi cha "Tuongee Asubuhi" kujadili masuala ya vijana na uongozi. Usikose!
Katibu mwenezi Ngome ya @ActVijana Zanzibar nikiwa na Katibu mwenezi wa chama ACT Wazalendo Upande wa Zanzibar katika ofisi kuu ya ACT Zanzibar katika kuadhimisha miaka mitano tangu kuanzishwa chama cha ACT Wazalendo.
Nikiwa na katibu wa Ngome ya @ACTWanawake Ndugu @MwanaishaMndem2 katika ofisi kuu ya ACT wazalendo Vuga mjini Unguja,nikatika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka mitano tangu kusajiliwa rasmi chama cha ACT WAZALENDO.
Nimepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Reginald Abraham Mengi kilichotokea Dubai usiku wa kuamkia leo. Nawapa pole familia, jamaa, marafiki na wafanyakazi wote wa IPP kwa msiba huu mkubwa. Sote ni wa Mwenyezi Mungu na Kwake Tutarejea. #RIPReginaldMengi
Chama cha @ACTwazalendo kimejitolea kuongoza Watanzania wote - wanawake, vijana na wazee - kuelekea katika Safari ya Mabadiliko. Hapa Katibu wa Itikadi na Uenezi @AdoShaibu akimkabidhi kadi ya uanachama mmoja wa wazee huko Mbagala Kiburugwa.
#TheFutureIsBright#TheFutureIsPurple
Siku kama ya leo tarehe 7 April miaka kadhaa baada ya kifo cha shujaa Karume ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwangu na kuja duniani na wazazi wangu wakanipatia jina la ABEID.
Malengo ya Mzee karume ipo siku yatatimia ndani ya Zanzibar.
ABEID "die" ABEID "born"