@SeifSharifHamad@mansoorhimid@ACTwazalendo Imani huzaa imani na mapenzi ! Kwetu ni wajibu kwa kazi kubwa unayoendelea kuifanya kwa maslahi yetu . Tunakutakia kila la kheri na mafanikio Amin
“We need a confident leader who knows his legitimacy comes from Zanzibaris and who will dare to sit with the United of Republic Of Tanzania and fight for the rights of Zanzibar through discussions, arguments and negotiations. I am considering myself fit for that “ Maalim Seif .
Wazanzibari tuna imani kubwa na Maalim Seif kwamba ndiye Jemadari wetu . Tunashukuru sana kwa kauli yake kwamba atachukua fomu kwa kugombea Urais wa Zanzibar kwa Uchaguzi wa Oktoba 2020.
Ninaikumbuka siku hii bwawani 2010 nilipokuwa nikiripoti kuhusu uchaguzi mkuu ambao kwangu ulikuwa wa kihistoria. Hotuba ya Dr Seif na Maalim Seif zilikuwa za matumaini, lakini kwa masikitiko ya wengi ndoto ya Wazanzibar baada ya miaka 5, Jecha na wakubwa wake wakaizima.
ACT Wazalendo is pleased to congratulate Kenya on winning the UN Security Council Seat for 2021 to 2022. This is a great honor for all of us in East Africa. We wish you all the best !
Today's move by the Zanzibar Electoral Commission Chairman (2012 - 2017), Jecha Salim Jecha to pick up CCM nomination forms for Zanzibar Presidency is a clear evidence beyond any doubt that we never had independent or impartial electoral commissions in #Zanzibar and #Tanzania.
#BREAKINGNEWS: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, kwa sharti la kutotoa na kuandika maneno ya uchochezi kwa muda wa mwaka mmoja.