😂😂😂huko kwa ODM watu wanatoka na walikuwa washalipwa after introducing Oparanya as the next DP😂😂😂"Wewe na tshirt ya Red, unapeleka watu wapi??"😭😭😭ni kumoto🔥🔥
Arsenal winning the league is just a sign that the world is slowly coming to an end, accept Jesus Christ today, give your life to Jesus, tomorrow might be too late.
Yaani unaamini Iran inaweza kuua watu 50,000 ndani ya siku mbili, ila Israel imeteketeza Gaza yote kwa miaka miwili
Na kuua watu 75,000 pekee?
Hizo propaganda mnazomezeshwa na kuamini si akili ya kawaida ya binadamu. We need to make commonsense common again.
It is well with my soul.
Go well Mum.
This afternoon we have lost our dear mother, Lucia Wangui Thang'wa, also known to many as Nyina wa Martin.
For many years my mother battled dementia. I am not even sure she ever got to know that I was elected the Senator for Kiambu. But every time I saw her, sat with her, or spoke to her, I found strength to keep going.
She may not have remembered many things in her final years, but to us she remained the strong matriarch who, together with our late father, raised thirteen children with love, sacrifice, and discipline.
Rest well Mum.
I remain your 13th.
Brand za magari ya umeme na yanayotumia mafuta zinazozalishwa China zimeingia kwa kasi katika soko la Tanzania. Kampuni kama BYD, Chery, Geely, na Changan ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa magari duniani, zikiwa na teknolojia ya kisasa, viwango bora vya usalama, na uwezo mkubwa wa uzalishaji.
Hii inaleta fursa ya kipekee kwa Tanzania kuacha taratibu kuwa dampo, au kwa lugha ngumu zaidi kuwa kaburi la magari ya mtumba ambayo katika masoko ya nje tayari hayana road worthiness, yanatumia teknolojia zilizopitwa na wakati, na yana viwango duni vya usalama. Badala yake, nchi inaweza kuelekea katika matumizi ya magari mapya, salama, na rafiki kwa mazingira.
Ninashauri Serikali izingatie sera ya kupunguza au kuondoa kodi kwa magari ya umeme, na kupunguza kodi kwa magari mapya yanayotumia umeme na mafuta hadi isizidi asilimia 20 ya bei ya gari. Hatua hii itawezesha Watanzania wengi zaidi kumiliki magari mapya yenye teknolojia ya kisasa, viwango bora vya usalama, na matumizi madogo ya nishati au uchafuzi wa mazingira.
Kwa mazingira ya uchumi wa Tanzania, ambapo car financing bado si rahisi kufikiwa na wananchi wengi na manunuzi hufanyika kwa mfumo wa malipo ya papo kwa papo (upfront payment), punguzo la kodi litapunguza mzigo mkubwa wa bei kwa mnunuzi wa mwisho. Hii italeta unafuu wa moja kwa moja kwa wananchi katika ununuzi wa magari.
Sera kama hii itakuwa na manufaa kwa pande zote. Itawanufaisha wananchi kwa kupata magari salama na ya kisasa, itaongeza mapato ya serikali kupitia ongezeko la mauzo badala ya kutegemea kodi kubwa kwa idadi ndogo ya magari, na italinda mazingira kwa kupunguza uchafuzi unaotokana na magari chakavu.
Zaidi ya hapo, itavutia makampuni mengi zaidi kuanzisha dealership rasmi nchini na hata kuwekeza katika viwanda vya kuunganisha magari (assembly plants), jambo litakaloongeza ajira, ujuzi wa ndani, na mapato ya viwanda.
Pendekezo hili linaweza kuwa sehemu ya mabadiliko ya sera yanayochochewa kupitia maeneo maalumu ya kiuchumi (special economic zones) chini ya TISEZA @InvestTanzania, ili Tanzania iwe kitovu cha magari mapya na teknolojia safi katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Tusikubali kuwa wa mwisho kwenye masuala ya kisera na kimabadiliko katika ukanda wetu, kwani tuna fursa ya kipekee kuwa wa kwanza na kuongoza
Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.
Hii ni funga kazi, Jimbo Katoliki la Moshi limepata Mashemasi 15, Kanisa liko na Furaha kubwa mnoo.
Upendo wa Mungu unaendelea kuonekana kwetu kwa namna hii🙏
Anaandika Askofu Bagonza (PhD)
"POLISI NA “WAKATOLIKI”
1. Nalazimika kuwapongeza Polisi wetu kwa ukomavu wao na ustaarabu wa kutozuia maandamano ya “Wakatoliki” walioenda kueleza hisia zao kwa Balozi wa Papa hapa nchini.
2. Nachukulia uvumilivu wao kama ishara ya kuacha kupambana na maoni ya watu na hisia zao. Basi wafute hata kesi za Mzee Mwandambo aliyekamatwa kwa kueleza hisia zake za kidini.
3. Kumbe, msimamo huu wa Polisi ulianza mapema pale walipomvumilia kiongozi aliyesema atakata vichwa vya watakaoandamana. Shikilia hapo hapo Polisi, jizuie kuingilia uhuru wa watu na maoni yao.
4. “Wakatoliki” hawa wasiojua kusoma vizuri walichokiandaa; walioamua kumwimba “Mwamba ni Yesu” badala ya Bikira Maria Mlinzi wa Taifa letu, na waliosahau kuwa Baba Mtakatifu wa sasa anaitwa Papa Leo wa 14; wametimiza haki yao ya kikatiba.
5. Watakapokuja Wakatoliki halisi wanaojua kusoma na kuvaa kwa heshima mbele ya Balozi wa Papa, wakasoma tamko lao kuwataka Polisi wamkamate aliyempiga Fr. Kitima, na wamlete aliyeteka mapadre na kuwadhalilisha, akawavisha wake za watu mavazi ya kitawa ili waonekane ni watawa walioshika bendera za vyama nk - hawa Wakatoliki wakiandamana, polisi kuweni wavumilivu kama mlivyokuwa wavumilivu kwa “Wakatoliki” hawa.
Sisi Wajaluo tunaamini kuwa chuki dhidi ya Ukatoliki inayoendeshwa kwa mikakati mibovu, ina nia mbaya dhidi ya serikali kuliko ilivyo na nia mbaya dhidi ya Ukatoliki.
Kupigana na Ukatoliki ni lazima uwe na dini nyingine ndani yako inayokusukuma kupigana vita hiyo. Wajaluo “tusiotahiriwa” tunajiuliza hiyo dini ni ipi"?
NECTA wanapaswa kuanzisha “Special exam “ kama ilivyo kwenye Universities. Kuna watoto huwa wanalazimika kufanya mitihani wakiwa kwenye “Majanga “ makubwa.