15 JANUARY 2025
CRDB ilikua 670 tzs--->sasa hivi ni 2900
DSE ilikua 2360 tzs--->sasa hivi ni 6430
NICO ilikua 640 tzs--->sasa hivi ni 3780
NMB ilikua 850 tzs--->sasa hivi ni 2040
Afriprise ilikua 215 tzs---->sasa hivi ni 730
Ps. Bei ya sasa ya NMB ni baada ya split, IMAGINE
Home gardens and small-scale livestock production and crop diversitification gives small Farmers the ability to meet their nutritional needs and ensure healthy foods are readily available in local markets🥬
#ClimateSmart#YouthInAgribusiness
Happy Nane Nane Day!
We celebrate this day on the 8 August every year to recognize the important contribution of farmers to the Tanzanian economy. We wish to send a big thanks to all our farmers!
#NaneNane#ClimateSmart
Toyota Probox aka Box la Ki professor..
.
Hili jina linamaanisha Professional Box [Pro Box]..
.
Hii ni light commercial vehicle ambayo ilikua introduced sokoni katikati ya mwaka 2002..
.
Baada ya Muda imekuja kuwa gari pendwa sana hasa na wafanyabiashara hapa Tanzania..
Kuna dogo yuko Kkoo, anafunga hesabu Milion 2 - 3 kila siku!
Hana Duka,
Hana Mzigo,
Hana Mtaji.
Akili, Simu yake na Mafundi 3 wa AC pale kariakoo ndo vinamfanya dogo apige 40 - 50M kila mwezi.
Wakati wewe unapiga kelele mtandaoni,
Janja ametoboa mtandaoni!
Stori iko hivi.
Chicken farming is one of the strongest entry points into agribusiness. With discipline and good management, a small flock can grow into a powerful income source.
FISH FARMING IN FLOOD PRONE AREAS: RISKS AND FIXES
✓ Risks
1. Fish escape – Floodwaters can wash fish out of ponds.
2. Pond damage – Embankments and dikes may collapse.
3. Contamination – Floodwater may carry diseases, chemicals, or predators.
4. Oxygen drop – Poor water quality during floods can reduce oxygen levels.
5. Loss of feed/equipment – Stored items may get washed away or spoiled.
✓ Fixes
1. Raise pond walls above known flood levels.
2. Reinforce dikes with sandbags or rocks.
3. Install fish escape nets or barrier fencing around ponds.
4. Dig emergency drainage channels to redirect excess water.
5. Use floating cages in deep, controlled flood zones.
6. Move stock to backup tanks or higher ground when warned.
7. Insure your farm if possible, or keep records for relief aid.
✓ Bonus Tip: Always monitor weather updates and have a flood response plan ready.
Mama yangu alisema
"Kama itafika hatua/wakati nikaweza kupanga nyumba ya Tshs 200,000 hadi 250,000 kwa mwezi hapa jijini Dar esSalaam, basi ni wazi kwamba nina uwezo wa kujenga, Hivyo sipaswi kuendelea kupanga, Nunua Plot, 200,000 iende kujenga, then panga chumba cha 50,000 kwa miaka mawili hadi mitatu nitakuwa na Nyumba ya kuishi mimi na familia yangu"
Ni mwaka sasa toka nimeanza kufanyia kazi ushauri wake.
Bro nisikilize, and I'm talking from real life experience...
Haijalishi unataka nini, ila ukishakipata tu ghafla utajikuta kuna kitu kingine tena unakitaka maishani
Huu mzunguko utajirudia mara zote hadi siku mwili na nafsi yako vitakapotengana
Naturally, binadamu haturidhiki