@Chiku_chausiku@Sativa255 Hii kitu ya kusajili meli JPM aliipiga marufuku baada ya kuon skendo kma hizi zimezid miaka ya 2018 hiviii asa tatizo ndio liko hapo wanao sajili ndio wenye shida na ndio sababu ya taifa kuchafuliwa kwani wameweka pesa mbele kuliko ueledi wa kazi zao,